Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa masikini

ngono na pombe hatari sana
 
Yaani mkuu alichoongea mleta mada kafanya jambo ambalo nadhani ameongozwa na nguvu flani ya kiungu maana si kwa kuguswa wengi kama tulivyoguswa na hili bandiko. Nimachoshukuru ni kuwa nimeyajua mapungufu yangu kupitia bandiko hili mapema kabisa ya huu mwaka. So naamini huu mwaka utakuwa na mabadiriko makubwa kwangu
Tumaanishe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaamina " nguvu ya bwana itusimamie pale tunapoanza kumaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww una akil ,umepost kitu cha maana saana co kama wachimba dawa wengne wa huku ,wanavunga et wako kwenye system lkn mawazo yao ni uduvi,
 
Ulieleta huu uzi hujapoteza kabisa amini nakwambia kuna baathi ya watu watatoboa kupitia uzi wako maana kuna wengi wetu kuna baathi ya vitu vidogo tuu vya kurekebisha kama hilo la kulipiza kisasi kuna baathi ya watu tuliitilafiana kwenye biashara nilikuwa nachukua muda mrefu kupanga mbinu za kuwalipizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana nawewe...ujue katika familia zetu au Koo zetu Kuna chain kubwa ya umasikini na unakuta wote wanakutegemea wewe ,labda ili ufanikiwe miaka ya mwanzo unaanza kutafuta mafanikio inabidi ukate mawasiliano na ndugu zako ila ukishapata na unajua mitego ya pesa ishakaa vizuri ndo uanze kuweka mawasiliano nao na kujumuika lasivyo utakwama tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kila mtu atakuwa tajiri
Na si wote walizaliwa kuwa masikini
Mungu hakupi utajiri
Mungu hakupi Umasikini

Mungu anakupa akili ya kuchagua nini ufanye na kila ufanyalo ndio litasababisha uwe masikini au tajiri.....

Umasikini huanzia kwenye fikra

Umasikini ni ugonjwa kama magonjwa mengine ukiutibu basi utakua sehemu yenye kukufanya utimize kile utakacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…