Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa masikini

Nimekuelewa sana kiongoziiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Well said bro.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duh Thanx God mi ninazo nane tu.Sitokufa masikini
 
Bila shaka neno hili limetoka kwa mtu ambaye ni tajiri au hatokufa maskini
Mzee wa upako aliwahi kusema kufa maskini ni ufala
Na hakuna neno baya kama kusema one day yes


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni miongoni mwa uzi bora kabisa hapa jf.Ila ngono hapo siwezi kuacha napenda sana ngono wadau


iPhone 7plus
 
Uzi mtamu huu,, utadhani nimeuandika mimi, kuja jambo la kuogofya lakini la halali nililifanya mwaka juzi, mpaka leo ni.eniletea mafanikio makubwa sana, mpaka nashangaa ujasiri niliupata wapi. Kweli Woga unaturudishaa nyuma. Ingawa ni muhimu pia kuchukua tahadhari sio kuvamia kila kitu kwa kisingizio cha kutokutaka kuonekana mwoga. Utapoteza maisha na mali mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…