Ukiwa na mahusiano na nurse (nesi) uwe na moyo mgumu

Wengi wenye kaz za kuingia night huwa hawaaminiki hata maaskari hawa, unakuta anakuambia niko lindo leo usiku kumbe anaenda lindo analolijua. Yataka moyo
Sasa kama wewe ni Mdada umesema haya na hapa wanazungumzia wadada

Mimi ni nani hata nikatae au nibishe? Mimi ni nani.
 
kumbe hata mm sikujua km ni mzoefu na maisha hata huku upo?
swali nje ya mada vp Mabaharia eti wana nyumba ndogo kila port au wanasafiri nao
ni kweli? wakiwakamata stow away wanawashughulikia?
Hiyo ya kila port kuwa na mke ipo sababu melini pesa yako haitumiki na mtu kukaa muda mrefu bila kuonana na mwanamke.

Stowaway siku hizi akikamatwa haguswi,anakula na kulala vizuri kisha atashushwa bandari inayofata ili arudishwe kwao.
 
Wengine ndio tumeo wauguzi na bado utulivu tunauona wa kutosha kifupi ni amani tu au ndio bado niendelee kuwa mvumilivu all in all in Baba Levo's voice tuzungumze sana na wenza wetu kabla ya kuona kuepuka ukurupukaji
 
Wengine ndio tumeo wauguzi na bado utulivu tunauona wa kutosha kifupi ni amani tu au ndio bado niendelee kuwa mvumilivu all in all in Baba Levo's voice tuzungumze sana na wenza wetu kabla ya kuona kuepuka ukurupukaji
Mkuu wanachapwa kinoma hao watu,ni vile tu labda wewe siyo mfuatiliaji,na ndoa ndo inataka hivyo,mmoja awe boyaboya,mwingine mjanja.Yaani hiyo kada,mmmmh! utulivu kwao ni zero kabisa,sijui hata wanaoamua kuwaoa sijui ni watu wa namna gani,aisee zinachapika kinoma.
 
Uko sahihi ndio maana mazungumzo ni muhimu kabla hujaamua kuoa
 
Narudia tena hushindwi kumjua mtu anayekuigizia ukiamua ila wengi huwa mnajikaza kwa kuamini mtu atabadilika haiko hvyo
 
Huo ni utetezi wao ukiwaambia kua mna tabia mbaya,hujibu hivyo,ila in most cases ni wahuni hutakiwi kua na wivu ukiwa na mahusiano nao,wanachapika mno.
Hapa nimikuelewa ukisema wengi ni wahuni ila waungwana wapo
 
Uko sahihi ndio maana mazungumzo ni muhimu kabla hujaamua kuoa
Mkuu ukisema uzingumze nao atakwambia 'INATEGEMEA NA AKILI YA MTU' jichanganye uoe sasa,labda usiwe na ka wivu kua huyu ni mke wangu na sitaki tusheeshee,hapo utaishi kwa amani,mi nimeshuhudia na nimekua na mahusiano nao na nimeona walikua na mahusiano nao,yaani wao ngono ni jambo la kawaida tu.
 
W
Wewe ndiye uliye ingilia penzi la watu ...huyo jamaa ni demu wake kabla yako hivyo mchepuko ulikuwa wewe.
 
Bado nasisitiza uko sahihi na mimi nakazia pia unaweza kufanikiwa kupata mwanamke nesi na akawa ametulia mfano ninao sijisifu
 
Hata hivyo ulichelewa sana kuchukua maamuzi ya kuachana nae, mwanamke yoyote akikuuliza unaniona mimi malaya, jua ni malaya kweli kweli tena aliyekubuhu achana nae haraka sana. Usije sasa ukaichezea tena hiyo bahati uliyoipata ya kuwa single.
 
ogopa sana kuhusu madokta na manesi
Sisi madokta tukimtaka nesi awe ameolewa au la, lazima aliwe kwakigezo Cha shift hata polisi
 
Ungevumilia tu inawezekana alikuwa anajenga ya jayo na Boss wake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…