Ukiwa na mwenza limbukeni zingatia haya

Ulimbukeni wangu, ni ile siku nimeona confirmation ya pale UDSM tena kwa course niliyoomba na ilikua awamu ya kwanza tyuuh.

Jamanii nyumba nzima walikoma, nilikua najiona mie ndo mie, marafiki zangu full kuwadolishia, sasa kunae mkaka alikua anajiona yeye much know, akakosa akapata huko MUST, bas nilivyokua namuonesha dharau. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijaulizwa, nisharopoka mie naenda UDSM, had kaka akawa ananambia "wee dogo em acha ulimbukeni wako, UDSM Pa ajabu sana au?" Yaan full tafranii. Nilivyofika pale Mlimani main campus, week 2 tyuuh nkaona kumbe ni kawaida bhana, Lol

Kila Nikikumbuka huwa nacheka sanaa. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulimbukeni wangu ninaoukumbuka mwaka 1992 naenda chekechea pale Mission Songea mjini nikiwa na 5 yrs old nilikula maziwa ya Unga mpaka nikatapika mixer makamasi halafu eti nikawa naficha kwenye kimfuko cha shati la chekechea
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatariii
 
Siku moja napita pale Engineering ndio siku wanakaribishwa rasmi first yr. Nikasikia mkufunzi mmoja anasema, "nyie ni krimu ya taifa..." Basi ukichanganya na ugeni wa chuo unawaona wote waliokosa kwenda UD ni makapuku tu
 
Yaan ukifika COET, mnaanza kutambiana mmekuja na 1 ya ngapi,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bas mnataja na shule, unakuta wengi mmetoka special school, km private bas za maana.
Ila UD, hatarii sanaa. Lol
 
Ukipata mwanaume ambaye ujana wake alikuwa zumbukuku, hawezi kuongea Kwa kujiamini yeye ni kuinama inama tu kama kondoo siku akimcheat mkewe hawezi jicontrol lazima akili zake ziwe kama kanga moko maana hawezi mweshimu mkewe anajua kila kitu kipo hivyo kumbe hakipo hivyo, anakuwa kama mbuzi wakafara
 
Ulimuonyesha pisi kali za UDSM siyo.
 
Kumbe furaha yao inakuwa kabla hawajakopa.
 
COET?
 
Yaan ukifika COET, mnaanza kutambiana mmekuja na 1 ya ngapi,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bas mnataja na shule, unakuta wengi mmetoka special school, km private bas za maana.
Ila UD, hatarii sanaa. Lol
Wewe ulikua coet au ulikua ungwinini huko?
 
Same kwa mwanamke ambaye hakuwahi kujua ladha ya kukojozwa kisha akipata kikojozi huko nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…