Ukiwa na rafiki/mke ambae ni pacha utalazimika utembee nao wote?

Ukiwa na rafiki/mke ambae ni pacha utalazimika utembee nao wote?

Tall

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
1,425
Reaction score
168
Kuna uvumi/usemi kuwa ukiwa na Doto kama mpenzi wako mwisho wa safari kulwa nae utatembea nae, kwa utalaamu wenu na ozoefu wenu mnasemaje wana JF?
 
mhh..
how old r u????
we unazungumzia teenagers,sio watu wazima.
maswali mengine bana...
 
tall
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Sat Feb 2010
Posts: 18
Thanks: 2
Thanked 1 Time in 1 Post

Ahaaaa! Not suprised! Uko form gani kijana?
 
kwa jinsi maadili yalivyo nowdays, wanamega tuu.
 
kumega???
mtu akisema unamegwa.
utajisikiaje?
choose better words plse.

mzee kifimbocheza....safi sana...vijana wa siku hizi wanapoteza maadili ya lugha kabisa...#***&%$*
 
Kuna uvumi/usemi kuwa ukiwa na Doto kama mpenzi wako mwisho wa safari kulwa nae utatembea nae, kwa utalaamu wenu na ozoefu wenu mnasemaje wana JF?
Kijana kwanza swali lako linaonyesha upungufu wa maturity level yako..
Forum hii kuitwa Mahusiano, mapenzi na urafiki haimaanishi Ngono, Uzinzi na uasherati/umalaya!
We are not here kutukuza upuuzi kama huo.
P/SE: If you have nothing to do, don't do it here!
(afu nahisi ndo umemaliza form6 vile..katafute tempo kwanza! unaniudhi!!!!!!)
Mungu Ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania!
 
Hairuhusiwi kwani ni dhambim kubwa mbele za MUNGU hata mbele za watu pia.
 
Du ni uzinzi tu,Mobutu seseko alitembea nao wote.PATAMU HAPO
 
Kuna uvumi/usemi kuwa ukiwa na Doto kama mpenzi wako mwisho wa safari kulwa nae utatembea nae, kwa utalaamu wenu na ozoefu wenu mnasemaje wana JF?
It takes a fool to do so!!
 
Back
Top Bottom