Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Wadau toka vyuo mbal mbal vyuo vyenu vinaruhusu mtu mwenye sup na special kufanya vyote? maana hapa iaa ni shida hurusiwi inabid uanze na special then til mwaka ujao unafanya sup nkimanisha kwamba unaendelea masomo mwakani ukifanya hizo sup. so mtu unakaa home mwaka mzima kusubiri sup hii sheria sijaipenda