Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
kwa mfano et, special ni kitu gani?
Special ni exams wanazofanya watu ambao walishindwa kufanya EU wakati inapofanyika kutokana na sababu mbalimbali kama ada.. kuumwa...uzazi nk.... so na wao wanatengenezewa ratiba yao..!!!
EU or UE???