Ukiwa na vitu hivi halafu upo hivi, Utawamaliza wanawake kwa kweli

Inaweza kuwa kweli, life limetite kinoma asa KWA wenzetu hao wapenda vyakunyonga
 
This Is JamiiForums
Kila mtu anasema yeye ni handsome
Anajidai kwamba anamiliki gari.
Anagonga menyu KFC

Unaposema kila Mtu yupo kama huyo Jamaa unatukosea Heshima na Sisi wengine Mkuu. Wengine Maisha yetu yanajulikana na wana JamiiForums wengi hapa kwamba tumezaliwa katika Umasikini, tumekulia katika Umasikini, tumesoma Kiumasikini na hata hivi sasa tunaishi Kimasikini. Sioni Tija ya kuja Kujishebedua au Kujitapa hapa Jamvini wakati Uhalisia wa Maisha yangu hayako hivyo. Nawatakia Kila la Kheri hao Wenzetu ambao wanajionyesha Utajiri Wao hewa hapa Jamvini ila Sisi wengine tumeshaweka ' Agano ' na Mwenyezi Mungu kwamba hata kama ikitokea Siku moja Pesa na Utajiri ukatutembelea basi hatutobadilika Kitabia na sana sana tutakuwa Wanyenyekevu na Watu wa Kujishusha daima huku tukitoa sehemu za Pesa zetu / Utajiri wetu katika Kuwasaidia Wenzetu ambao wanaishi Maisha ya Shida ambayo na Sisi tumeyapitia na Kuyaishi kwa muda mrefu ila hatutaki na wengine nao waje wayapitie.

Cc: NYEKUNDU YA BIBI
 
Tajiri mimi nirushie hata buku tatu nitashukuru, nitakuombea kwa Mungu Dua njema na utavuna thawabu
 
Ulikua unasumbua sana kunywa uji na kula mayai? sawa mkuundugu yangu
 
...sababu ameona wewe mwenye range rover umeaazima- endesha yako ilimuonyesha sio mzoefu wa magari coz ni la kuazima mkuu.
...mimi mwenye Subaru /b4 legacy uendeshaji wangu umetuma ujumbe kwa traffic kuwa ni mzoefu wa magari

Angeandika mwanamke hivi ingependeza
 
Naomba ututake radhi sisi wenye subaru aiseeh kwani umeahindwa kutaja hata IST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…