Ukiwa na vitu hivi halafu upo hivi, Utawamaliza wanawake kwa kweli

Unataka uwakamate na wadada wa humu mbn maelezo mengi??
 
mkuu...unaponda kuwa huwez kudet na wa hvyo mpumbavu..sa hyo efu 50 ulituma ya nini?..
 
Izo gari mbona kwetu awasimamishagi. Labda iwe kuukuu watajua ni mtoto wa mstaafu
 
Mkuu usisahau kuvaa koti kwenye baridi kali usije ukapoteza uhai kizembe
 
ok tell us your weakness
 


Mkuu hebu weka picture ya hiyo Range nione nami kama naweza afford kuipata au weka model na yom yake.
Asante.
 
Mkuu hawa maaskari wa barabarani sio malaika ni waajiriwa wa serikalini wana shida zao pia wana majukumu yao nao wanashawishika kama watu wengine....ila kuanika issue nzima kwa kulenga uhalisia sio nzuri sana. Kuwa askari hakumvui uanamke wake bado nae anatamani apendeze na hapo ndo naye anategemea ale kwa njia hiyo.
Ila nakusifu kwa ujasiri wako kama umeruka kishawishi hicho
 
Aha kwahiyo unafikiri niko serious?
Nimemsoma huyu ndugu tangu last year najua hapa anafake life tu.
Kama ningekuwa na shida kweli ningemfata pm.
It is just a joke.
Jamaa hajui mkuu wote tulijua una mjoke tu utajishushaje mwanaume kiasi hicho
 
boss ukiitaj dereva au muosha magari, nipo
 


Jichunguze mkuu unakiburi cha pesa kilichokomaa na kuzaa dharau na unapoelekea utakosa utu. Huyo Dada inawezekana kakupenda kama binadamu wa kawaida mwenye hisia anavyoweza kumpenda lakin wewe kwenye bandiko lako unaonekana umeiashia kusoma kwa ukwasi ulionao, kama Dada huyo ni traffic police marange mangapi yanapita kwenye barabara hiyo, unafikiri Kila marange yanapopita hufanya kama alivyokufanyia?

Mapenzi yanaweza kuanzia popote na katika mazingira yoyote mkuu, niliwahi kupendwa na dada mmoja nilikuwa nauza genge la matunda yeye akiwa lecture wa chuo kikuu, alikuwa mteja wangu tu na aliifahamu kazi yangu ila Mimi nilikuwa sifahamu kazi yake nasikutaka kuifahamu alikuja kuniambia mwenyewe baadaye akataka tuwe wapenzi nikamwambia ninamchumba basi tukaishia hapo tunaheshimiana hadi leo. Kwa hiyo mkuu ni vizuri kutambua mapenzi hayaangalii chochote wapo pia matajiri wanaosumbuka kuwapata waliovutiwa nao, ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…