Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Kwa haya uliyoandika inaonesha wewe si maskini... Maskini wanachukia tajiri anapozungumzia mambo ambayo yanaonesha mafanikio yake. Wanakasirika sana na kutokwa povu
Nimependa sana hizi tambo.....nimecheka sana,...this is how men should behave...sio kila saa kulia lia njaa,wakati unaamka saa tano asubuhi,unadhani pesa itajileta[emoji16][emoji16][emoji16]
Nenda jukwaa la sport uone GENTA alichondika, hahaha.Nahisi imetokea tu bahati mbaya kua mtulivu namna hii
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa kaandika post kuhusu mpira sijui nani kamuandikia nahisi shangazi lakeNenda jukwaa la sport uone GENTA alichondika, hahaha.
Hii ndiyo aina ya wavulana/wanaume tulionao kwa sasa kwenye jamii. Uwe na range au na meli I really don't give a f'ck! Shida yangu ni kwamba unaanzaje kuja kuropoka hapa eti unapendwa mwanaume mzima kabisa na ndevu zako! Hivi ni vitu private sana hatukuhitaji kuvijua kutoka kwako zaidi ya Ku expose ufala wako tuu! Mwanaume lazima uwe na pafu bana. Mambo madogo kama haya unakuja kulialia mitandaoni..... Ili upate likes ama nini?
NB: Sijapanic usije sema povu.... Nimeandika huku nacheeeka!!!!
Yaani umeniangusha kuliko maelezo hakyanani vile sikutegemea uje unalia lia hivyoMtanisamehe kwa ninyi ambao ninapozungumzia maisha mazuri huwa mnakasirika. Mtanisamehe maana ndo experience niliyo nayo. ni ngumu sana kwa mtu mvuvi kuzungumzia vizuri habari za kilimo, ndio ilivyo kwangu napata shida sana kuzungumzia shida na matatizo sababu sijawahi kukutana nayo zaidi zaidi nilipokuwa mdogo mama anasema nilikuwa nasumbua sana hasa kunywa maziwa na mayai.
Jana nolitoka ofisini nikawa nimeamua nikale KFC na kufanya mizunguko kadhaa nikaja kutoke mataa ya pale Posta Akiba. Ile sehemu nishaijua kitambo kuna traffic washaifanya kitega uchumi. So wanasubiria tu ukichelewa kidogo kwenye taa ukawa unapita huku zinaishia wanakupiga mkono uwaachie chochote au wakuandikie.
Alinikamata dada mmoja jana akidai nimepita wakati taa ya njano imewaka. Mimi nilikuwa wa pili kutoka mwisho, sijui sababu ni nini akaona anikamate mimi mwenye Range Rover amwache jamaa aliyekuwa na Subaru nyuma yangu. Nimepita nikaona ananipiga mkono. Nikacheck nyuma nikaona kuna subaru nayo ipo inakuja nikajua labda anaisimamisha subaru.
Nikaamua kutii sheria bila shuruti nika indicate kushoto akanionesha nisimame pembeni ambako nipandishe nguzo za barabara. Nikagoma nikasimama barabarani ila pembeni. Mdada akaja mwenyewe kwa maringo akitingisha mwili. Alikuwa mdada mweusi mrefu kiasi,kiuno chembamba na hips zimejitokeza.
Sikuzima gari nikawa namsubiria akaaanza na kuchukua namba ya gari kuingiza kwenye kimashine chake. Baadaye akaja kuangalia kwenye kioo na mwishowe akaja kugonga akitaka nishushe kioo.Nikashusha kioo cha abiria. Alinisalimia habari yako boss@ nikamjibu kifupi tu 'salama'
afande; unajua kosa lako?
mimi : hapana
afande; umevuka wakati taa nyekundu zimewaka
mimi; si kweli. nimevuka wakati taa za kijani zimeruhusu
afande; boss unabisha na mimi nimekuona ndugu yangu... naomba leseni nikuandikie;
mimi: huna cha kuniandikia, na leseni nimeisahau ofisini ukihitaji ntakupatia ila sina kosa.
afande; unaendeshaje gari bila leseni?
mimi: fande kwani sheria inasemaje kuhusu mtu anaposhindwa onesha leseni kwa wakati huo unapohitaji?
afande; kwa hiyo umekataa kulipia kosa la kuvuka wakati wa red right (akimaanisha red light)
mimi: afande xxxx (baada ya kusoma jina lake) nachelewa kazini. sina kosa na kama una ushahidi nioneshe nilipe haraka nataka kuondoka. kama ni suala la leseni twende ofisini.
afande: fatu... naondoka na huyu mheshimiwa kwenda kituoni nakuja...
akapanda kwenye gari.
mimi: funga mkanda
afande: unanijali eeeehhh.... haya boss mjeuri
mimi: tunaenda kituoni au wapi
afande: mi njaa inaniuma unataka unizungushe mpaka wapi au unataka unipeleke kwako ?
mimi: chukua biznez kadi yangu hii nitafute jioni tuzungumze huu ugomvi wetu unaishaje nikatoa nikampa akanambia niende nikamwache pale serena hotel atanitafuta baadaye.
Jioni kweli alinitafuta amechangamka kweli na kuuliza nipo wapi ili tukutane tuongee. Yule afande nimeshamuona ni mtu ambaye kabisa ametamani kuwa na mahusiano na mimi. Usiku katuma meseji ananiita dear. Anataka nikilala nimwote n.k Aliaanza kuniuliza nisije mgombanisha na mke wangu, nilimwambia bado sijaoa.
Akataka kujua nataka kuoa mke mwenye sifa zipi anafanya kazi gani.
Kiufupi huyu dada tayari ameshakuwa ina love with either me au gari na mwonekano wangu. Najiuliza naweezaje ku date mdada mwenye akili kama hii? Huyu si ni tatizo tayari?Leo nimemtumia tsh 50,000 ya lunch. Nikamwambia nipo busy kidogo na vikao ofisini but when i am done nitamtafuta mimi mwenyewe.Kajibu meseji 'thank you love' just like that? ni mdada mzuri sikatai but kichwani nshamuona hana akili.
Ukiwa na gari kali,pesa, mwonekano mzuri utawapanga saa wanawake wapumbavu utabadili tu rangi,maumbo,makabila,dini n.k
Wanawake kuweni na akili .Sisi wengine hatupendi ku date wanawake wapumbavu maana nasikia waaambukiza upumbavu.
Huu ndio umama!Mtanisamehe kwa ninyi ambao ninapozungumzia maisha mazuri huwa mnakasirika. Mtanisamehe maana ndo experience niliyo nayo. ni ngumu sana kwa mtu mvuvi kuzungumzia vizuri habari za kilimo, ndio ilivyo kwangu napata shida sana kuzungumzia shida na matatizo sababu sijawahi kukutana nayo zaidi zaidi nilipokuwa mdogo mama anasema nilikuwa nasumbua sana hasa kunywa maziwa na mayai.
Jana nolitoka ofisini nikawa nimeamua nikale KFC na kufanya mizunguko kadhaa nikaja kutoke mataa ya pale Posta Akiba. Ile sehemu nishaijua kitambo kuna traffic washaifanya kitega uchumi. So wanasubiria tu ukichelewa kidogo kwenye taa ukawa unapita huku zinaishia wanakupiga mkono uwaachie chochote au wakuandikie.
Alinikamata dada mmoja jana akidai nimepita wakati taa ya njano imewaka. Mimi nilikuwa wa pili kutoka mwisho, sijui sababu ni nini akaona anikamate mimi mwenye Range Rover amwache jamaa aliyekuwa na Subaru nyuma yangu. Nimepita nikaona ananipiga mkono. Nikacheck nyuma nikaona kuna subaru nayo ipo inakuja nikajua labda anaisimamisha subaru.
Nikaamua kutii sheria bila shuruti nika indicate kushoto akanionesha nisimame pembeni ambako nipandishe nguzo za barabara. Nikagoma nikasimama barabarani ila pembeni. Mdada akaja mwenyewe kwa maringo akitingisha mwili. Alikuwa mdada mweusi mrefu kiasi,kiuno chembamba na hips zimejitokeza.
Sikuzima gari nikawa namsubiria akaaanza na kuchukua namba ya gari kuingiza kwenye kimashine chake. Baadaye akaja kuangalia kwenye kioo na mwishowe akaja kugonga akitaka nishushe kioo.Nikashusha kioo cha abiria. Alinisalimia habari yako boss@ nikamjibu kifupi tu 'salama'
afande; unajua kosa lako?
mimi : hapana
afande; umevuka wakati taa nyekundu zimewaka
mimi; si kweli. nimevuka wakati taa za kijani zimeruhusu
afande; boss unabisha na mimi nimekuona ndugu yangu... naomba leseni nikuandikie;
mimi: huna cha kuniandikia, na leseni nimeisahau ofisini ukihitaji ntakupatia ila sina kosa.
afande; unaendeshaje gari bila leseni?
mimi: fande kwani sheria inasemaje kuhusu mtu anaposhindwa onesha leseni kwa wakati huo unapohitaji?
afande; kwa hiyo umekataa kulipia kosa la kuvuka wakati wa red right (akimaanisha red light)
mimi: afande xxxx (baada ya kusoma jina lake) nachelewa kazini. sina kosa na kama una ushahidi nioneshe nilipe haraka nataka kuondoka. kama ni suala la leseni twende ofisini.
afande: fatu... naondoka na huyu mheshimiwa kwenda kituoni nakuja...
akapanda kwenye gari.
mimi: funga mkanda
afande: unanijali eeeehhh.... haya boss mjeuri
mimi: tunaenda kituoni au wapi
afande: mi njaa inaniuma unataka unizungushe mpaka wapi au unataka unipeleke kwako ?
mimi: chukua biznez kadi yangu hii nitafute jioni tuzungumze huu ugomvi wetu unaishaje nikatoa nikampa akanambia niende nikamwache pale serena hotel atanitafuta baadaye.
Jioni kweli alinitafuta amechangamka kweli na kuuliza nipo wapi ili tukutane tuongee. Yule afande nimeshamuona ni mtu ambaye kabisa ametamani kuwa na mahusiano na mimi. Usiku katuma meseji ananiita dear. Anataka nikilala nimwote n.k Aliaanza kuniuliza nisije mgombanisha na mke wangu, nilimwambia bado sijaoa.
Akataka kujua nataka kuoa mke mwenye sifa zipi anafanya kazi gani.
Kiufupi huyu dada tayari ameshakuwa ina love with either me au gari na mwonekano wangu. Najiuliza naweezaje ku date mdada mwenye akili kama hii? Huyu si ni tatizo tayari?Leo nimemtumia tsh 50,000 ya lunch. Nikamwambia nipo busy kidogo na vikao ofisini but when i am done nitamtafuta mimi mwenyewe.Kajibu meseji 'thank you love' just like that? ni mdada mzuri sikatai but kichwani nshamuona hana akili.
Ukiwa na gari kali,pesa, mwonekano mzuri utawapanga saa wanawake wapumbavu utabadili tu rangi,maumbo,makabila,dini n.k
Wanawake kuweni na akili .Sisi wengine hatupendi ku date wanawake wapumbavu maana nasikia waaambukiza upumbavu.
Range,Subaru nyuma yangu,Mtanisamehe kwa ninyi ambao ninapozungumzia maisha mazuri huwa mnakasirika. Mtanisamehe maana ndo experience niliyo nayo. ni ngumu sana kwa mtu mvuvi kuzungumzia vizuri habari za kilimo, ndio ilivyo kwangu napata shida sana kuzungumzia shida na matatizo sababu sijawahi kukutana nayo zaidi zaidi nilipokuwa mdogo mama anasema nilikuwa nasumbua sana hasa kunywa maziwa na mayai.
Jana nolitoka ofisini nikawa nimeamua nikale KFC na kufanya mizunguko kadhaa nikaja kutoke mataa ya pale Posta Akiba. Ile sehemu nishaijua kitambo kuna traffic washaifanya kitega uchumi. So wanasubiria tu ukichelewa kidogo kwenye taa ukawa unapita huku zinaishia wanakupiga mkono uwaachie chochote au wakuandikie.
Alinikamata dada mmoja jana akidai nimepita wakati taa ya njano imewaka. Mimi nilikuwa wa pili kutoka mwisho, sijui sababu ni nini akaona anikamate mimi mwenye Range Rover amwache jamaa aliyekuwa na Subaru nyuma yangu. Nimepita nikaona ananipiga mkono. Nikacheck nyuma nikaona kuna subaru nayo ipo inakuja nikajua labda anaisimamisha subaru.
Nikaamua kutii sheria bila shuruti nika indicate kushoto akanionesha nisimame pembeni ambako nipandishe nguzo za barabara. Nikagoma nikasimama barabarani ila pembeni. Mdada akaja mwenyewe kwa maringo akitingisha mwili. Alikuwa mdada mweusi mrefu kiasi,kiuno chembamba na hips zimejitokeza.
Sikuzima gari nikawa namsubiria akaaanza na kuchukua namba ya gari kuingiza kwenye kimashine chake. Baadaye akaja kuangalia kwenye kioo na mwishowe akaja kugonga akitaka nishushe kioo.Nikashusha kioo cha abiria. Alinisalimia habari yako boss@ nikamjibu kifupi tu 'salama'
afande; unajua kosa lako?
mimi : hapana
afande; umevuka wakati taa nyekundu zimewaka
mimi; si kweli. nimevuka wakati taa za kijani zimeruhusu
afande; boss unabisha na mimi nimekuona ndugu yangu... naomba leseni nikuandikie;
mimi: huna cha kuniandikia, na leseni nimeisahau ofisini ukihitaji ntakupatia ila sina kosa.
afande; unaendeshaje gari bila leseni?
mimi: fande kwani sheria inasemaje kuhusu mtu anaposhindwa onesha leseni kwa wakati huo unapohitaji?
afande; kwa hiyo umekataa kulipia kosa la kuvuka wakati wa red right (akimaanisha red light)
mimi: afande xxxx (baada ya kusoma jina lake) nachelewa kazini. sina kosa na kama una ushahidi nioneshe nilipe haraka nataka kuondoka. kama ni suala la leseni twende ofisini.
afande: fatu... naondoka na huyu mheshimiwa kwenda kituoni nakuja...
akapanda kwenye gari.
mimi: funga mkanda
afande: unanijali eeeehhh.... haya boss mjeuri
mimi: tunaenda kituoni au wapi
afande: mi njaa inaniuma unataka unizungushe mpaka wapi au unataka unipeleke kwako ?
mimi: chukua biznez kadi yangu hii nitafute jioni tuzungumze huu ugomvi wetu unaishaje nikatoa nikampa akanambia niende nikamwache pale serena hotel atanitafuta baadaye.
Jioni kweli alinitafuta amechangamka kweli na kuuliza nipo wapi ili tukutane tuongee. Yule afande nimeshamuona ni mtu ambaye kabisa ametamani kuwa na mahusiano na mimi. Usiku katuma meseji ananiita dear. Anataka nikilala nimwote n.k Aliaanza kuniuliza nisije mgombanisha na mke wangu, nilimwambia bado sijaoa.
Akataka kujua nataka kuoa mke mwenye sifa zipi anafanya kazi gani.
Kiufupi huyu dada tayari ameshakuwa ina love with either me au gari na mwonekano wangu. Najiuliza naweezaje ku date mdada mwenye akili kama hii? Huyu si ni tatizo tayari?Leo nimemtumia tsh 50,000 ya lunch. Nikamwambia nipo busy kidogo na vikao ofisini but when i am done nitamtafuta mimi mwenyewe.Kajibu meseji 'thank you love' just like that? ni mdada mzuri sikatai but kichwani nshamuona hana akili.
Ukiwa na gari kali,pesa, mwonekano mzuri utawapanga saa wanawake wapumbavu utabadili tu rangi,maumbo,makabila,dini n.k
Wanawake kuweni na akili .Sisi wengine hatupendi ku date wanawake wapumbavu maana nasikia waaambukiza upumbavu.
Mkuu kwani traffic sio mwanamke ana mapungufu gani mbona mnawashusha sana hadhi au mi ndo siwajui vizuri?MORAL TO THE STORY: Money is everything, hata kama watu wanasema jamaa anadanganya, I dont care, who does not love to drive a VX, and the likes ?...Maisha ndio haya haya hata mimi ningekuwa napush range nisingemla trafick I would have upgraded my game...OVA..
Mtoa mada amezungumzia ukweli uliopo,ili uwamudu unahitaji resources.kunatofauti kubwa ya anayechimba madini kwa machine na anayetumia jembe.
Sasa dada si ungepita kimya kimya ukatafute wanaume sehemu nyingine? Maana kama mimi sikufai ni wazi wewe hunifai mara 10000000000000. Katafute wanakopatikana wanaume.