Ukiwa na vitu hivi halafu upo hivi, Utawamaliza wanawake kwa kweli

Mkuu uko serious kweli??yani msichana akufate from no where akwambie anakupenda??

Hata sisi wanaume wenyewe tunatabia ya kuanziaga mbali tunapotongoza..

Sema tu huyo girl hujamkubali,hayo mengine hayana maana kabisa..
 
Ila wee jamaa ni mhaya ama? Gari gariiii
Gariiiii
 
haahaaaa fanya kazi kwa bidii iko siku ndoto zako zitatimiaa...
 
Wanawake kuweni na akili .Sisi wengine hatupendi ku date wanawake wapumbavu maana nasikia waaambukiza upumbavu.

Hili ndo la maana pekee kati ya yote ulioongea.

Mengine sijui mayai, maziwa, KFC, range rover, subaru, 50,000 ni utoto na ushamba tu. Siku ukiwa navyo vyako utaona ni vya kawaida.
 
Mkuu kwani traffic sio mwanamke ana mapungufu gani mbona mnawashusha sana hadhi au mi ndo siwajui vizuri?

Mkuu me sijakataa kwamba sio mwanamke ni mwanamke sawa ila ukweli usiopingika duniani kuna matabaka, utake usitake..Nakupa mfano wa kawaida tu, hautakuja kusikia mtoto wa Magufuli kamwoa mtoto wa mkulima wa malinyi au trafik anaeshinda mataa ya fire pale, unadhani kwanini? hata kama angempenda vipi, Ni sababu ya class na vitu kama hivyo..Mtoto wa bilgates hawez kuolewa na kapuku hata iweje. Huu ni ukweli ila ni mchungu, Utake usitake DUNIAN HAKUNA USAWA...ni either upambane uwe sawa nao au uendelee kulala uwe shabiki wao. Ukitaka kujua dunian kuna CLASSES, naomba unitafutie Mwanamke mwenye phd alieolewa na jamaa wa standard seven hata kama huyo jamaa awe na hela...
 
Huko naye ukute anahadithia kuwa kampata mwanaume mjinga..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…