Mbona poa tu.....mbona moize katumbi walimkikimisha lakini vijana wake TP mazembe walichukua NDOO ya shirikisho.....tuje kwa Gwajima naye ni sawa na yule wa WATASHINDANAAAAAA issue ilibamba lakini mpaka Leo kanisa ni nyomi.......mzee wa BILLS naye ni suala la muda tu....usiogopeKutokana Phase two list ya mheshimwa wa mji
Nimekaa nmewaza tu hapa na hii njaa yangu ya mchana huu kama wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa Chadema, Team yako ni Dar Young African na Kanisa lako ni la Ufufuo na uzima sa hvi kichwa chako kinawaza nin kwa pamoja sa hvi.
Asante kwa kudadavua mkuu acha nikale kwanza labda ilikua njaa tuMbona poa tu.....mbona moize katumbi walimkikimisha lakini vijana wake TP mazembe walichukua NDOO ya shirikisho.....tuje kwa Gwajima naye ni sawa na yule wa WATASHINDANAAAAAA issue ilibamba lakini mpaka Leo kanisa ni nyomi.......mzee wa BILLS naye ni suala la muda tu....usiogope
Kutaja ni swala jengine na kuthibitisha ni swala jengine!!Kutokana Phase two list ya mheshimwa wa mji
Nimekaa nmewaza tu hapa na hii njaa yangu ya mchana huu kama wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa Chadema, Team yako ni Dar Young African na Kanisa lako ni la Ufufuo na uzima sa hvi kichwa chako kinawaza nin kwa pamoja sa hvi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Kufuatia Kutajwa kwa Mdhamini Wa Club ya Yanga Fc Ndugu Yusuph Manji Katika Orodha ya Washukiwa Wa Madawa ya Kulevya Idara Ya Polisi Wakishirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul C Makonda Imewataka Mashabiki wote Wa Club Ya Yanga Waripoti Kituo Cha Polisi siku ya Ijumaa Kwa Mahojiano Zaidi*
[emoji23][emoji23][emoji23] Yanga a.k.a Ngada Fc
Jaman mimi Simba damu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]