Swali lako lilieleweka tangu mwanzo na huu muktadha ulieweka pia... nimekujibu according to hali iliyopo na list yako uliyoweka; kuanzia wizi wa mabillioni ya pesa za 'kilimo kwanza' mikoani, mauaji ya Musoma, n.k. n.k. Ni nani wa kumlaumu?? The buck stops with the President! Finito.Labda niliweke swali katika muktadha wa nchi ya Afrika: Hivi kiwa Rai wa nchi ambayo watu wanachinjana kwa mapanga, viongozi wanapigana vikumbo vikaoni na kufumbia macho ufisadi, fedha zinaibwa na kubwiwa kama chibuku, ni nani hasa unapaswa kuwasiliana naye kila siku ili kuhakikisha nchi haiendi mrama hasa unapokuwa na shughuli nyingi za kimataifa na kibiashara?
4 --- 1. Waziri Mkuu
2 --- 2. Mkuu wa Majeshi
3 --- 3. Mkuu wa Polisi
1 --- 4. Mkuu wa Usalama wa Taifa
5 --- 5. Katibu Mkuu wa Chama Tawala
...and the rest kama simu yako bado ina salio!
Labda niliweke swali katika muktadha wa nchi ya Afrika: Hivi kiwa Rai wa nchi ambayo watu wanachinjana kwa mapanga, viongozi wanapigana vikumbo vikaoni na kufumbia macho ufisadi, fedha zinaibwa na kubwiwa kama chibuku, ni nani hasa unapaswa kuwasiliana naye kila siku ili kuhakikisha nchi haiendi mrama hasa unapokuwa na shughuli nyingi za kimataifa na kibiashara?
Surely that does not mean he is party to that, does it?
Hiyo namba 5 ndipo mambo yanapoharibikia kama mtu mwenyewe ni Makamba. Atakuharibia siku bure!4 --- 1. Waziri Mkuu
2 --- 2. Mkuu wa Majeshi
3 --- 3. Mkuu wa Polisi
1 --- 4. Mkuu wa Usalama wa Taifa
5 --- 5. Katibu Mkuu wa Chama Tawala
...and the rest kama simu yako bado ina salio!
Mkewe!
Labda niliweke swali katika muktadha wa nchi ya Afrika: Hivi kiwa Rai wa nchi ambayo watu wanachinjana kwa mapanga, viongozi wanapigana vikumbo vikaoni na kufumbia macho ufisadi, fedha zinaibwa na kubwiwa kama chibuku, ni nani hasa unapaswa kuwasiliana naye kila siku ili kuhakikisha nchi haiendi mrama hasa unapokuwa na shughuli nyingi za kimataifa na kibiashara?
duh ina maana mshauri wa kwanza kabisa ni mkewe? sababu mkewe ndiyo anakaa na rais muda mrefu kuliko hao wote aliowataja mtoa hoja, sasa je mke wa rais akiwa bogasi ninakuwaje?Mkeo ndio unatakiwa kuwasiliana naye kila siku, wengine wote uliowataja ni only sporadically
Surely that does not mean he is party to that, does it?