Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,713 Reaction score 6,121 Feb 13, 2020 #1 Mashabiki wa Yanga wanao wakati mgumu sana: Kwanza siku ya Valentine lazima watinge Jezi za Simba One love.Kama unabisha waulize Pili wanajikuta katika wakati mgumu kwa sababu sio washabiki wala wanachama wa CCM yaani ni shida zaidi Tatu Subiri matokeo yakitoka,hakuna cha kushangilia Nashangaa sana watu wanaoshabikia Yanga
Mashabiki wa Yanga wanao wakati mgumu sana: Kwanza siku ya Valentine lazima watinge Jezi za Simba One love.Kama unabisha waulize Pili wanajikuta katika wakati mgumu kwa sababu sio washabiki wala wanachama wa CCM yaani ni shida zaidi Tatu Subiri matokeo yakitoka,hakuna cha kushangilia Nashangaa sana watu wanaoshabikia Yanga
jovas jonathan Senior Member Joined Apr 7, 2019 Posts 193 Reaction score 275 Feb 13, 2020 #2 Duh Sent using Jamii Forums mobile app
LAPUA MAGNUM 338 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 431 Reaction score 1,223 Feb 13, 2020 #3 Itakua wanashindwa kujitoa kwa kuona aibu wanaamua kufa na tai shingoni halafu wakiwa ugenini usikute wanajifanya sio mashabiki, kushabikia yanga taabu sana, yan ukiifurahia leo kesho jua maumivu
Itakua wanashindwa kujitoa kwa kuona aibu wanaamua kufa na tai shingoni halafu wakiwa ugenini usikute wanajifanya sio mashabiki, kushabikia yanga taabu sana, yan ukiifurahia leo kesho jua maumivu
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,713 Reaction score 6,121 Mar 7, 2020 Thread starter #4 Kesho Sasa