Ukiwa ugenini...

simba songea

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2016
Posts
1,498
Reaction score
1,216
Msaada jamani;

Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu??
 
Tatizo ni kwamba umekula mpaka umenyeng'anyana punje za mwisho kwenye sinia na mtoto wa mwenyeji wako.
 
Zuga unapokea simu, nakuja nakuja unavaa viatu unaaga kwa kupungia mkono imetoka hiyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
noma hiyo mkuu naCOPY hiyo
 
Ukisikia kauli ya "Leo nimechoka sana..." kutoka kwa shemeji yako.....ujue unafukuzwa wasipoisema subiri menu inayofuata
 
Mmmh! Kwani ulifuata kweli msosi?
 
unauliza toilet ni wapi? ukishatoka unazuga unaharaka unawahi mzigo sehemu flani ukitoka hapo spidi 120 kwenye kona shaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,.
 
Ww ukishapiga menu tu jifanye sim inaita, hallow halow ile inshu tayar cio ss ww mpe kwanza Laki moja hapo nakuja ndy unaondoka hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…