Ukiwa unaandika post JF unakuwa mazingira / hisia gani?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Je unapenda kuandika Post/threads zako za JamiiForums ukiwa katika mazingira/sehemu au katika hali/hisia gani?
 
nikiwa sina kazi nyingine ya kufanya
 
Je unapenda kuandika Post/threads zako za JamiiForums ukiwa katika mazingira/sehemu au katika hali/hisia gani?
Huwa nawaza jinsi watanzania walivyo waongo kwa sasa. Yaani mtanzania ni muongo nadhani kupita kipindi chochote tangu tupate uhuru. Wanasiasa ndiyo usiseme. Pia huwa nawaza jinsi navyowachukia chadema na genge lao kwa kuwa ni waongo na wanafiki namba moja Tz.
 
Wewe ni ta.ko. dhibitisha uwongo wao.
 
Back
Top Bottom