Huwa nawaza jinsi watanzania walivyo waongo kwa sasa. Yaani mtanzania ni muongo nadhani kupita kipindi chochote tangu tupate uhuru. Wanasiasa ndiyo usiseme. Pia huwa nawaza jinsi navyowachukia chadema na genge lao kwa kuwa ni waongo na wanafiki namba moja Tz.Je unapenda kuandika Post/threads zako za JamiiForums ukiwa katika mazingira/sehemu au katika hali/hisia gani?
Huwa nawaza jinsi watanzania walivyo waongo kwa sasa. Yaani mtanzania ni muongo nadhani kupita kipindi chochote tangu tupate uhuru. Wanasiasa ndiyo usiseme. Pia huwa nawaza jinsi navyowachukia chadema na genge lao kwa kuwa ni waongo na wanafiki namba moja Tz.