Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Kweli kabisaKujitafuta kunahitaji sana Kujipoteza ili ujipate..
Hahaha meneja, watu wengi baada ya kuoa bila kujipanga uchumi uliporomoka sana kwasababu mahitaji ya lazima yanaongezeka.Mungu hawezi kukufanikisha kama hujaoa. Maendeleo ya kweli huwa yanaanza kuja baada ya mtu kuoa mke sahihi. Mungu akibariki ndoa analeta na mafanikio ya kiuchumi.
Mkuu,Zamani nilipokuwa nimeajiriwa kuna jamaa aliacha kazi hakupatikana zaidi ya miaka 5, alitoka kazini akiwa na madeni kila kona, after five years nimepatana nae kafanikiwa kwa kiasi chake hashindwi kulipa bills, analipa maeneo makubwa uko katavi na morogoro pia anauza pembejeo za kilimo,
Hasara za kuoa au kuwa available wakati unajitafuta.
1.Unaweza kupoteza focus yako.
Wakati bado unajitafuta—kujenga career, biashara, skills au direction ya maisha—kuwa kwenye relationship au ndoa kunaweza kugawanya attention yako. Badala ya kujiuliza “Nataka kuwa nani?”, unaanza pia kubeba mahitaji na expectations za mtu mwingine
2. Unaweza kupunguza kiwango cha risk unachoweza kuchukua.
Kujijenga mara nyingi kunahitaji kujaribu biashara, kuhama mji, kusoma, kubadilisha career au kuanza upya. Ukiwa na majukumu mengi, unaweza kuogopa kuchukua risks ambazo zingekusaidia kukua
3. Unaweza kuchelewesha kujijenga kwa sababu ya majukumu.
Ndoa inaweza kuja na majukumu ya kifedha, watoto, nyumba na familia pana. Majukumu hayo ni ya kawaida, lakini kama umeingia bila msingi mzuri, yanaweza kufanya kujijenga kuwa kugumu zaidi
Ukiwa unajitafuta then ukaingia kwenye mchakato wa kujihusisha utapewa kadi za harusi kutoka kwa watu wako wa karibu na utashindwa kuwapa, mwisho utajihisi mnyonge sana, ukienda kanisani wakati unajitafuta utakutana na michango ya kufa mtu, sadaka za kujimaliza, zaka, maendeleo ya kanisa n.k
Potea katika uso wa dunia rudi ukiwa na uwezo wa kujihusisha then hakuna atakayekuuliza kama pesa zako ni clean au vipi.
Walioa wake wasio wao. Watu wengi wanao oa baada ya kufanikiwa huwa wanaoa wake za watu. Wanatumia mafanikio, na pesa zao kuoa. Wanaiba wake za watu kwa kuwatamanisha mafanikio na pesa zao kisha wanaoa. Mke wa mtu hawezi kubeba baraka za mafanikio. Mwanamke asiye wako anabeba nguvu hasi za mafanikio.Hahaha meneja, watu wengi baada ya kuoa bila kujipanga uchumi uliporomoka sana kwasababu mahitaji ya lazima yanaongezeka.
Mr ton mzee wa kupulizia gas.Hakunaga fomyula jamani. Kwa nini kila mtu tu asiishi maisha yake kwa jinsi anavyotaka bila kubughudhiwa na mategemeo ya jamii?
Uliyejipoteza umefanikiwa nini?Zamani nilipokuwa nimeajiriwa kuna jamaa aliacha kazi hakupatikana zaidi ya miaka 5, alitoka kazini akiwa na madeni kila kona, after five years nimepatana nae kafanikiwa kwa kiasi chake hashindwi kulipa bills, analipa maeneo makubwa uko katavi na morogoro pia anauza pembejeo za kilimo,
Hasara za kuoa au kuwa available wakati unajitafuta.
1.Unaweza kupoteza focus yako.
Wakati bado unajitafuta—kujenga career, biashara, skills au direction ya maisha—kuwa kwenye relationship au ndoa kunaweza kugawanya attention yako. Badala ya kujiuliza “Nataka kuwa nani?”, unaanza pia kubeba mahitaji na expectations za mtu mwingine
2. Unaweza kupunguza kiwango cha risk unachoweza kuchukua.
Kujijenga mara nyingi kunahitaji kujaribu biashara, kuhama mji, kusoma, kubadilisha career au kuanza upya. Ukiwa na majukumu mengi, unaweza kuogopa kuchukua risks ambazo zingekusaidia kukua
3. Unaweza kuchelewesha kujijenga kwa sababu ya majukumu.
Ndoa inaweza kuja na majukumu ya kifedha, watoto, nyumba na familia pana. Majukumu hayo ni ya kawaida, lakini kama umeingia bila msingi mzuri, yanaweza kufanya kujijenga kuwa kugumu zaidi
Ukiwa unajitafuta then ukaingia kwenye mchakato wa kujihusisha utapewa kadi za harusi kutoka kwa watu wako wa karibu na utashindwa kuwapa, mwisho utajihisi mnyonge sana, ukienda kanisani wakati unajitafuta utakutana na michango ya kufa mtu, sadaka za kujimaliza, zaka, maendeleo ya kanisa n.k
Potea katika uso wa dunia rudi ukiwa na uwezo wa kujihusisha then hakuna atakayekuuliza kama pesa zako ni clean au vipi.
Kulipa some bills ambazo mwanzo nisingewezaUliyejipoteza umefanikiwa nini?
Ni mtqzamo tuZamani nilipokuwa nimeajiriwa kuna jamaa aliacha kazi hakupatikana zaidi ya miaka 5, alitoka kazini akiwa na madeni kila kona, after five years nimepatana naye kafanikiwa kwa kiasi chake. Yaani hashindwi kulipa bills, analipa maeneo makubwa uko Katavi na Morogoro, pia anauza pembejeo za kilimo.
Hasara za kuoa au kuwa available wakati unajitafuta
1. Unaweza kupoteza focus yako
Wakati bado unajitafuta—kujenga career, biashara, skills au direction ya maisha—kuwa kwenye mahusiano au ndoa kunaweza kugawanya attention (umakini) yako. Badala ya kujiuliza “Nataka kuwa nani?”, unaanza pia kubeba mahitaji na matarajio ya mtu mwingine.
2. Unaweza kupunguza kiwango cha risk (hatari/hasara) unachoweza kuchukua
Kujijenga mara nyingi kunahitaji kujaribu biashara, kuhama mji, kusoma, kubadilisha career au kuanza upya. Ukiwa na majukumu mengi, unaweza kuogopa kuchukua risks ambazo zingekusaidia kukua.
3. Unaweza kuchelewesha kujijenga kwa sababu ya majukumu
Ndoa inaweza kuja na majukumu ya kifedha, watoto, nyumba na familia pana. Majukumu hayo ni ya kawaida, lakini kama umeingia bila msingi mzuri, yanaweza kufanya kujijenga kuwa kugumu zaidi.
Ukiwa unajitafuta halafu ukaingia kwenye mchakato wa kujihusisha utapewa kadi za harusi kutoka kwa watu wako wa karibu na utashindwa kuwapa, mwisho utajihisi mnyonge sana, ukienda kwenye nyumba za ibada wakati unajitafuta utakutana na michango ya kufa mtu, sadaka za kujimaliza, zaka, maendeleo ya huduma/majengo, n.k.
Potea katika uso wa Dunia, rudi ukiwa na uw2ezo wa kujihusisha then hakuna atakayekuuliza kama pesa zako ni safi au vipi!
Hakuna formulaUkioa ndio unapata ari na mori ya kutafuta, bachela utapambana sana unampambania nani
KweliHakuna formula
Wapo walio single wanatoboa and vice versa
Wapo waliooa na hawajatoboa and vice versa.