Ukiwa unajitafuta zima simu, usioe, jitenge, kaa mbali na dini. Utanishukuru baadaye!

Sahihi kabisa
 
Kuna kuzima simu na mambo yako yakazimika mazima yaani kuzima simu you know exactly what your going to do with the situation, kufanikiwa ni mtazamo wako ukoje ukiangalia kwenye kila aliyefanikiwa alipush button ambayo kwa wengine ilionekana ngumu kwahiyo maisha hayana formula. Mimi nimekuta simulizi kuna bamkubwa alitoboa tu baada ya kuoa na kila kitu kilinyooka kwenye njia yake. Mungu hakupi unachotaka bali anakupa unachostahili kwahiyo tambua ukiwa unapambana usisahau kudra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…