Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli dawa zinatakiwa zitunzwe katika Hali ya ubaridi kidogo,2 to 8 centgrade ila ndo hivyo tena
California love
Hiyo temperature una maanisha -20C ? Minus 20C
Uwa akili!?!?!? Ni shida, eti kiswahili ni lugha yetu huku tuliingia mitini kwenda Afrika Kusini kufundisha kiswahili, Uwa akili.Habari Wakuu Heri ya jumapili!
Mimi kwangu kwa akili yangu najua ni zipo kwenye friji 🤦😂😂 lakini nikiingia napewa za moto, najua kabisa lakini nafanya kusudi,
Karibu tuichangamshe jumapili
Heee sylabus ya mwaka gan hii imebadilisha normal reading ya room temperature kuwa 20°cAcha kupotosha, dawa nyingi zinafaa kutunzwa kwenye jotoridi la chumbani[emoji12] (room temperature, 20*C)
Isipokuwa chache tu ambazo zinahitaji below that, ni chache tu.
~Avoid hangovers, stay drunk!
Duh!! Signature yako tu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kupotosha, dawa nyingi zinafaa kutunzwa kwenye jotoridi la chumbani[emoji12] (room temperature, 20*C)
Isipokuwa chache tu ambazo zinahitaji below that, ni chache tu.
~Avoid hangovers, stay drunk!
Air conditionMbona sijawahi ona friji za hizo dawa au kwa sababu wengine hawana uwezo wanazipanga tu
Asante sana na kunisahihisha,Mimi nilimaanisha reagents na chanjoAcha kupotosha, dawa nyingi zinafaa kutunzwa kwenye jotoridi la chumbani[emoji12] (room temperature, 20*C)
Isipokuwa chache tu ambazo zinahitaji below that, ni chache tu.
~Avoid hangovers, stay drunk!
Okay, nikirudi kwenye swali lako: "Duka la Dawa Baridi", ni kwamba: siku hizi yamefanyika maboresho, badala ya kuandika 'duka la dawa baridi' wanaita 'duka la dawa muhimu (medical store)'. Kanuni za Maduka ya Dawa Muhimu (DLDM) zinafuatia uamuzi wa serikali kuboresha upatikanaji wa dawa na huduma zitolewazo katika Maduka ya Dawa Baridi kwa kuyapandisha hadhi kuwa Maduka ya Dawa MuhimuLugha tu nimejikuta nimeshachapisha kurekebisha mpaka heading nimeshindwa
Asante sana na kunisahihisha,Mimi nilimaanisha reagents na chanjo
California love
Siyo kweli. Duka la Dawa Baridi au Medical Store kwa Kiingereza (siku hizi wanaita Duka la Dawa Muhimu) huuza dawa zile ambazo hazina ulazima wa andiko la daktari, kinyume chake kuna Duka la Dawa Moto (Pharmacy) huuza dawa zote ikiwa ni pamoja na zile zinazohitaji idhini ya daktari (dawa moto)....Kwa Ufupi Dawa Baridi ni dawa Maalumu kwaajili ya Binadamu,,
Na kuna dawa za mifugo na Mimea pia hapa naongezea Maduka hayo ya madawa...
Vilevile haya maduka ya dawa baridi yapo madawa ambayo Muda wote yanatakiwa yahifadhiwe kwenye Friji mfano chanjo na n.k...