Ukiwa vegetarian ghafla unafika ukweni, unakuta wamechinja mbuzi na kuku kwa heshima yako

Ukiwa vegetarian ghafla unafika ukweni, unakuta wamechinja mbuzi na kuku kwa heshima yako

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
215
Reaction score
487
Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake.

Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa nyama ni kachumbali tu. Unaishia kula wali na kachumbali.
 
Kwamba ukila nyama ni nini kinatokea? Au mnaamini nini mpaka msile nyama. Kwenu vegetarians, wala nyama tunahitaji majibu.
 
Kwamba ukila nyama ni nini kinatokea? Au mnaamini nini mpaka msile nyama. Kwenu vegetarians, wala nyama tunahitaji majibu.
Kuna walio kwenye kampeni ya kutoonea wanyama.

Wengine ni sababu za ki afya wakiamini ulaji wa nyama huongeza magonjwa.
 
Kuna wanaokura samaki na mayai lakini wengine ni majani, maharage na jamii ya kalanga tu.
Hao ^wanaokura^ ^kalanga^ ni akina nani tena jamani!???? Mbona tulikubaliana tunywe na ^jew-easy^ za matunda freshi kama maembe na maepo!???
 
Kwamba ukila nyama ni nini kinatokea? Au mnaamini nini mpaka msile nyama. Kwenu vegetarians, wala nyama tunahitaji majibu.
Hivi ukiwa vegetarian means hutakiwi kula nyama hata mara moja moja inabidi? Ndiyo mambo uliyokutana nayo ukweni mkuu?
Ukija huku doktaz wanakushauri utumie sana ^mar-2-nda^ na vyakula vitokanavyo na mimea. Hilo lenyewe ni eye-opener; siyo zile za kufungulia fanta ^fasheni^ lakini. Haha.
 
Inatokea mara chache sana kwangu kula nyama na imekuwa dharura leo nikala nyama ya ng'ombe na ni baada ya miaka 8 nifanye hivyo.
 
Kuna wale hawali nyama ila mchuzi wa nyama, mayai twendekazi
 
Ghafla nimejikuta nakuwa distracted na hizo 'r' na 'l'...

Once in a while unakula tu kama haina madhara yoyote kiafya...

Vinginevyo, toa udhuru
 
Si unaenda na mkeo na anajua ulaji wako, atawataarifu mapema.!
Kwani ukisema huwa situmii hiki chakula kuna shida? Penda kuwa mkweli, utakuweka huru kweli kweli...ukweni sio mahala patakatifu mkuu kupaogopa sana.
 
Back
Top Bottom