Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Kuna wanaokula samaki na mayai lakini wengine ni majani, maharage na jamii ya karanga tu.Hivi ukiwa vegetarian means hutakiwi kula nyama hata mara moja moja inabidi? Ndiyo mambo uliyokutana nayo ukweni mkuu?
Na Je Ikiwa huli kitimoto?Hivi ukiwa vegetarian means hutakiwi kula nyama hata mara moja moja inabidi? Ndiyo mambo uliyokutana nayo ukweni mkuu?
Na maziwa fresh wanakunywa.Kuna wanaokura samaki na mayai lakini wengine ni majani, maharage na jamii ya kalanga tu.
Kwani kitimoto ni nyama au ni majani?Na Je Ikiwa huli kitimoto??
Maziwa ya soya au mchele hutumiwa na vegetariansNa Je Ikiwa huli kitimoto??
Kuna walio kwenye kampeni ya kutoonea wanyama.Kwamba ukila nyama ni nini kinatokea? Au mnaamini nini mpaka msile nyama. Kwenu vegetarians, wala nyama tunahitaji majibu.
Hao ^wanaokura^ ^kalanga^ ni akina nani tena jamani!???? Mbona tulikubaliana tunywe na ^jew-easy^ za matunda freshi kama maembe na maepo!???Kuna wanaokura samaki na mayai lakini wengine ni majani, maharage na jamii ya kalanga tu.
Kwamba ukila nyama ni nini kinatokea? Au mnaamini nini mpaka msile nyama. Kwenu vegetarians, wala nyama tunahitaji majibu.
Ukija huku doktaz wanakushauri utumie sana ^mar-2-nda^ na vyakula vitokanavyo na mimea. Hilo lenyewe ni eye-opener; siyo zile za kufungulia fanta ^fasheni^ lakini. Haha.Hivi ukiwa vegetarian means hutakiwi kula nyama hata mara moja moja inabidi? Ndiyo mambo uliyokutana nayo ukweni mkuu?
We mkurya unaboa kinyama yaaniKuna wario kwenye kampeni ya kutoonea wanyama.
Wengine ni sababu za ki afya wakiamini uraji wa nyama huongeza magonjwa.
Tuvumiliane mapungufu yetu.Ghafla nimejikuta nakuwa distracted na hizo 'r' na 'l'...
Once in a while unakula tu kama haina madhara yoyote kiafya...
Vinginevyo, toa udhuru
Mm ni spectarian....nakula vyakula vya baharini na ziwani tu....Hivi ukiwa vegetarian means hutakiwi kula nyama hata mara moja moja inabidi? Ndiyo mambo uliyokutana nayo ukweni mkuu?