Ukiwa Waziri wa Fedha usikubali kuyumba kwani utayumbishwa, nilimkubali sana Prof. Kighoma Malima kwa misimamo yake!

Ukiwa Waziri wa Fedha usikubali kuyumba kwani utayumbishwa, nilimkubali sana Prof. Kighoma Malima kwa misimamo yake!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ukiondoa story za vijiweni na uzushi mwingi kumhusu alhaj Kighoma Malima RIP binafsi nilimkubali sana yule Prof kwa kunena na kutenda Kwake.

Wakati akiwa Waziri wa Fedha nilikuwa nafuatilia jambo langu fulani ofisini kwa Mkurugenzi wa Utumishi Mr Mdidi ghafla waziri akaingia na kuongea kidogo na Mkurugenzi kisha akasema" Bwana Mdidi Waziri wa Fedha hatakiwi kuyumba yumba kwani atajikuta anayumbishwa sana na Wote humu mtayumba"

Hii sentensi iliongewa miaka zaidi ya 30 iliyopita lakini nimeikumbuka leo wakati nafuatilia bunge.

Mungu wa mbinguni atubariki!
 
Yuko wapi huyo malima,magavana wa BoT na mawaziri wa fedha wenye nsimamo walikufa nje ya nchi
 
Back
Top Bottom