TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

rest in Peace Dito.
ni kada mzuri wa CCM pengo lako kubwa, ulicheka na kila mtu hata sisi watu wa bara.
 
sote ni wapita njia tu hapa duniani, Mungu awafariji wafiwa
 
I repeat,

"may he and his soul roast in hell for eternity."
 
taarifa ya msiba mizito tumeipokea ila tunaomba utupe picha ya marehemu Kalumuna kama ambavyo umetuwekea picha ya marehemu Dito itakuwa ni vyema kwani wengine hatumfahamu.
natoa pole kwa wafiwa. Mwenyeezi Mungu awape subira inshaallah
 
rest in Peace Dito.
ni kada mzuri wa CCM pengo lako kubwa, ulicheka na kila mtu hata sisi watu wa bara.
LoL...

I like this nungwi... Nice prayer buddy.

Mi naamini "Mwosha - huoshwa"

Mungu amfikishe anapostahili...

Heaven? I have no objection...

Hell? Kama ni haki yake nako ni vema tu.
 

Rais Jakaya Kikwete akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora marehemu Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, huko Kinyerezi Nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam leo.
 
Mimi napata kichefuchefu ninaposikia Dito alikuwa mzalendo, mchapakazi na mtu wa watu. Hebu nisaidie japo sio vizuri kudiscuss marehemu. Ni jema lipi alilifanya mpaka. Nijisikie tumepoteza mtu?
 


enzi hizo mzee Ditto alipokuwa mkuu wa mkoa aliotoka mbunge wa chadema Zitto akiwa na Baba wa taifa kwa sasa wote wawili weshatangulia mbele ya haki
 
 
JF tuna tatizo la double standard. Baada ya kuuwa yule kijana Mbonde, Ditopile aliandikwa sana hapa, na wengi kwenye post zao walimpotray kama shetani hivi. Leo hii hao hao wanataka tuamini kuwa Dito alikuwa malaika! Kweli?
 
...Yoooote ni nguvu za shetani ndugu zangu kama aliua kwa kukusudia au la ndio limeshatokea nina imani ktk nafsi alijutia... Tuwaombee wote Dito na Mbonde mungu awaondolee adhabu ya kabri...Kufa ni wajibu kwetu sote tatizo ni jinsi ya kufa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…