Dar Joto Sana
Member
- Feb 28, 2025
- 55
- 59
Wanaadabu,na wanapenda kazi zao na familia pia .Ukiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako??
View attachment 3264403
Dar Joto Sana.
Corporate Ladies. Au sio mkuu??Wanaadabu,na wanapenda kazi zao na familia pia .
Wanaongoza kwa kujipendeza kwa mabosi ofisini, wanagongewa ofisini.Ukiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako??
View attachment 3264403
Dar Joto Sana.
WivuWanaongoza kwa kujipendeza kwa mabosi ofisini, wanagongewa ofisini.
Watiifu kwa boss ofisini ila wakirudi nyumbani ni wanaharakati wa usawaUkiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako??
View attachment 3264403
Dar Joto Sana.
Wanapendeza sana, class flani hivi kui-approach inahitaji timing kidogo, kama timing niliyochukua hadi kumpata Atoto, wasn't easy!Ukiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako??
View attachment 3264403
Dar Joto Sana.
Wana kaumalaya kalikojificha kwenye mavazi marefu.Ukiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako??
View attachment 3264403
Dar Joto Sana.
DuuhUkiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako??
View attachment 3264403
Dar Joto Sana.
Inategemea yupo mazingira gani wengine ni wasaniiWanaadabu,na wanapenda kazi zao na familia pia .
Upare muhimu mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣upare lazima mkuu!