Ukiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako??

Wanaheshimu zaidi kazi kuliko ndoa!
Anaweza kukuachia mtoto anayenyonya ili tu aende Dodoma na boss!

Boss ni boss wa Kila kitu!
 
ni wanawake wenye mambo ya chini kwa chini, tena ndio hatari sana kwakua kila kitu wanaigiza, unafiki mwingi hapo.
 
Wanadeka sana, wanapenda uwajali sana, kulia ni wepesi sana pia usitegemee kupewa papu.chi mara kwa mara kama ni boyfriend, very stressful ila wanavutia sana hasa wakiwa watupu. Utajikuta unakubaliana na yote hapo juu ili uendelee kuwa nae 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…