ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,476
Wakubwa,
Hi ni kauli inazungumzwa sana hasa na MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI mitaani na kauli hii hii hii ilizungumzwa pia na mtoto wa hayati baba wa taifa kwamba ni kweli ukiweka pembeni ushabiki wa hivi vyama vya kisiasa Dr. Slaa ni mchapakazi, anafanya tafiti na ana upeo mkubwa wa kuelewa mambo na ni mzalendo numberi one, anafaa asilimia mia kuwa Rais wa Tanzania.
Hata leo hii ukiweza kupitisha kura ya siri kwa wabunge waliomaliza muda wao, asilimia mia wanamkubali Dr Slaa kuwa ni kiongozi shupavu, na anafaa kuwa Rais wa nchi, tatizo ni hayo maji ya bendera waliyokwisha kunywa wanaona kukiacha chama ni kukisaliti na ni dhambi kubwa, lakini wakumbuke hata baba wa taifa alishasema CCM si baba yangu wala mama yangu.