Ukiweza kuwatambua hawa wachezaji hakika ntakupa vocha ya 1000

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Nia na lengo kujua watu wangapi ni wafuatiliaji wa mpira ligi za ulaya ,Je unaweza kunitajia hawa wachezaji ni nani na nani?
 
hahaha kwamba huyo mweusi tiii ni ATUPELE GREEN hao wengine ni KASIMU MWABUDA NA KELVIN FRIDAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…