Ukiwinda Mwanamke muda mrefu mara nyingi huishia kuwa Disappointed


Kwa kweli hata hambebeki na mtu na akili zake kabisa anajigamba badae, oooo wanawake warahisi
we mwenyewe hujiangalii? halafu mkinyimwa mnalalamika,na kwa nini uombe wakati huna hakika na bidhaa?
mwanamke kuringa, leo umekuja nitongoza wewe ushaniona siku nyingi sana na ushatathmini, mie siku unakuja ndio
na mie naanza siku hiyo kutathmini, tafadhali wanaume muelewe hilo
 
sasa mnataka uombe leo upewe leo
Ndio maana yake..

Kuna demu aliniambia nyie wanaume yaani mnaomba siku ya kwanza na mkikataliwa mnapotea mnatutesa sana na sie siku ya kwanza noma bwana mtatuona malaya!


Nikamuambia na sie lazima tuombe ili ujue msingi wa maendeleo sababu ''fomula ya Kikwete Mla huliwa''na sie kwa nyie wadada hatutafuti pesa kwenu au urafiki tu wa kawaida.
 

Sasa ndo iwe miezi? hebu sema wewe basi ni muda gani unafaa sisi kuwafukuzia hadi kupewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…