Ukiyaelewa maandiko haya vyema, hutaishi tena kwa mateso na unyonge

Unexpected and unpredictable circumstances are a part of life and often interrupt the predictable flow of events.
 
amekosea kidogo,

wakati na bahati havimpati kila mtu

wapo wasiotimiza malengo
Yupo sahihi,kuwa na bahati sio mpaka utimize malengo yote uliyojiwekea.Kwa mfano kama malengo yako ni kusoma hadi chuo kikuu halafu ikatokea umeishia form 4 hiyo ni bahati pia sababu kuna wengi wameshindwa kufikia level hiyo.
Ukiokota buku njiani ni bahati pia maana kuna watu wengi wamepita hapo bila kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…