Ukizingatia Hili, Huenda Tatizo Lako la Fungus Sugu Sehemu za Siri na Mba wa ngozi Likaisha Haraka!

Ukizingatia Hili, Huenda Tatizo Lako la Fungus Sugu Sehemu za Siri na Mba wa ngozi Likaisha Haraka!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Wapenzi wana jamiii, nimeona kwenye thread zilizopita watu wengi wakionesha kusumbuliwa na tatizo la fungus sehemu za Siri pamoja na mba wa kwenye ngozi (sio kwenye nywele). Nimeona ni bora kushea some ideas zitakazo weza kuwafaa wengi.
Dawa nyingi za dukani za kutibu gonjwa la fungus zimechemsha hasa wanapokuja fungus sehemu za siri na hata mba wa kwenye ngozi. Matunda ya dawa nyingi huanza kuonekana baada ya takrabini wiki mbili lakini ugonjwa wenyewe huchelewa kupona hata mtu akizingatia kanuni za usafi.

Basi napenda kuwashauri kutumia dawa aina ya IODINE ambayo inauzwa kwenye maduka ya kawaida. Niligundua nguvu ya dawa hii baada ya kusumbuliwa na mba wa ngozi kwa kipindi kirefu nikaamua kuchukua iodine niliyokuwa nayo ndani nijipake ili kuficha makovu ya mba maana nilikuwa na mtoko by then. Nilishangaa jinsi wale mba walivyokauka kwa upesi. Ndipo nikaaanza kutafuta kujua kwa nini dawa hii ina uwezo mkubwa namna hii.

Jinsi ya kutumia dawa hii, nunua iodine tincture kwenye duka la dawa lolote. nunua na gloves pamoja na pamba. Paka iodine sehemu iliyoathirika na mba au fungus. Vaa gloves ili kuzuia idoine ising'ang'anie kwenye ngozi ya mikono. Fanya hivi hasa nyakati za usiku ambazo uko nyumbani mda mwingi. Asubuhi oga au nawa sehemu uliyopaka dawa ya iodine.
Tahadhari. Kwa kuwa dawa hii imechanganywa na Spirit inaweza kupelekea muwasho mkali hasa ikipakwa sehemu za siri. Ni vema kuwa na chombo chenye maji, au taulo lililochovywa kwenye maji ili kupoozea sehemu iliyopakwa dawa.
Ni matumaini dawa hii itawasidia wengi walioteseka na ugonjwa huu mbaya kabisa.

For ref please soma hapa chini.

Iodine exhibits activity against bacteria, molds, yeasts, protozoa, and many viruses; indeed, of all antiseptic preparations suitable for direct use on humans and animals and upon tissues, only iodine is capable of killing all classes of pathogens: gram-positive and gram-negative bacteria, mycobacteria, fungi, yeasts, viruses and protozoa. Most bacteria are killed within 15 to 30 seconds of contact.Iodine is by far the best antibiotic,antiviral and antiseptic of all time.- Dr. David DerryDr. Derry says that iodine is effective “for standard pathogens such as Staphylococcus, but also iodine has the broadest range of action, fewest side effects and no development of bacterial resistance.” There is a world of difference between using an antibiotic – anti-life substance – and a antibiotic, antiviral and antifungal substance like iodine, which is life serving because it is a basic and most necessary nutritional substance.Iodine kills single celled organisms by combining with the amino acids tyrosine or histidine when they are exposed to the extra-cellular environment. All single cells showing tyrosine on their outer cell membranes are killed instantly by a simple chemical reaction with iodine that denatures proteins. Nature and evolution have given us an important mechanism to control pathogenic life forms and we should use it and trust it to protect us in ways that antibiotics can’t.

Iodine and Antibiotics | Dr. Sircus
 
Mhhhhh ni Iodine tincture ile ya vidonda?,mhh na rangi yake sasa lohhh..mtu kama unaumwa fungus si uende tu hospital ukapimwe vizuri na pia zingatia usafi binafsi
 
Mhhhhh ni Iodine tincture ile ya vidonda?,mhh na rangi yake sasa lohhh..mtu kama unaumwa fungus si uende tu hospital ukapimwe vizuri na pia zingatia usafi binafsi

Yeah. Ndio hiyo hiyo. Dawa za hospitali nyingi haziponeshi haraka na kwa wengine zimeshakuwa sugu! Iodine ni dawa ya kuuwa microbes na ndio maana inawekwa kwenye vidonda. Kwenye kupona usijali rangi...
 
Iodine hii...!! Na eneo lenyewe lilivyo delicate..najua huwa ina joto..mbona inaogopesha
 
Unatumia kwa muda wa siku ngapi kupaka sehemu za siri hasa kwenye mapaja?
 
naanza leo tena kopo zima namwagia kwenye m...booo
 
Wapenzi wana jamiii, nimeona kwenye thread zilizopita watu wengi wakionesha kusumbuliwa na tatizo la fungus sehemu za Siri pamoja na mba wa kwenye ngozi (sio kwenye nywele). Nimeona ni bora kushea some ideas zitakazo weza kuwafaa wengi.
Dawa nyingi za dukani za kutibu gonjwa la fungus zimechemsha hasa wanapokuja fungus sehemu za siri na hata mba wa kwenye ngozi. Matunda ya dawa nyingi huanza kuonekana baada ya takrabini wiki mbili lakini ugonjwa wenyewe huchelewa kupona hata mtu akizingatia kanuni za usafi.

Basi napenda kuwashauri kutumia dawa aina ya IODINE ambayo inauzwa kwenye maduka ya kawaida. Niligundua nguvu ya dawa hii baada ya kusumbuliwa na mba wa ngozi kwa kipindi kirefu nikaamua kuchukua iodine niliyokuwa nayo ndani nijipake ili kuficha makovu ya mba maana nilikuwa na mtoko by then. Nilishangaa jinsi wale mba walivyokauka kwa upesi. Ndipo nikaaanza kutafuta kujua kwa nini dawa hii ina uwezo mkubwa namna hii.

Jinsi ya kutumia dawa hii, nunua iodine tincture kwenye duka la dawa lolote. nunua na gloves pamoja na pamba. Paka iodine sehemu iliyoathirika na mba au fungus. Vaa gloves ili kuzuia idoine ising'ang'anie kwenye ngozi ya mikono. Fanya hivi hasa nyakati za usiku ambazo uko nyumbani mda mwingi. Asubuhi oga au nawa sehemu uliyopaka dawa ya iodine.
Tahadhari. Kwa kuwa dawa hii imechanganywa na Spirit inaweza kupelekea muwasho mkali hasa ikipakwa sehemu za siri. Ni vema kuwa na chombo chenye maji, au taulo lililochovywa kwenye maji ili kupoozea sehemu iliyopakwa dawa.
Ni matumaini dawa hii itawasidia wengi walioteseka na ugonjwa huu mbaya kabisa.

For ref please soma hapa chini.

Iodine exhibits activity against bacteria, molds, yeasts, protozoa, and many viruses; indeed, of all antiseptic preparations suitable for direct use on humans and animals and upon tissues, only iodine is capable of killing all classes of pathogens: gram-positive and gram-negative bacteria, mycobacteria, fungi, yeasts, viruses and protozoa. Most bacteria are killed within 15 to 30 seconds of contact.Iodine is by far the best antibiotic,antiviral and antiseptic of all time.- Dr. David DerryDr. Derry says that iodine is effective "for standard pathogens such as Staphylococcus, but also iodine has the broadest range of action, fewest side effects and no development of bacterial resistance." There is a world of difference between using an antibiotic – anti-life substance – and a antibiotic, antiviral and antifungal substance like iodine, which is life serving because it is a basic and most necessary nutritional substance.Iodine kills single celled organisms by combining with the amino acids tyrosine or histidine when they are exposed to the extra-cellular environment. All single cells showing tyrosine on their outer cell membranes are killed instantly by a simple chemical reaction with iodine that denatures proteins. Nature and evolution have given us an important mechanism to control pathogenic life forms and we should use it and trust it to protect us in ways that antibiotics can't.

Iodine and Antibiotics | Dr. Sircus

muda wa matumizi ni siku ngapi hadi kupona, mkuu?
 
naanza leo tena kopo zima namwagia kwenye m...booo

Mkuu mara nyingi inashauriwa unapotibu magonjwa ya nyeti inabidi mtibu wote na Mshirika wako...so Unapomwaga kwenye kiungo chako kumbuka kumwambia nae atege shimo ujaze Iodine.

Mimi nadhani Japo mwenye wazo anajua indications za iodine hajui dosage na administrations za iodine.
 
Wewe ni daktari au?

Kama sivyo,tunahitaji daktar au mfamasia kwa maelezo zaidi
 
hatupingi utafit wako ila hiyo kitu huwa inababua soft tissu sasa wenye fungus za uke nao vp ila mbona madawa yapo meng tu kwa ajir ya fungus yanin ujiumize nenda kwa wataalam na mambo mengine kama kuna wataalam naomba tusiwe tunaandika doz humu mtandaon watu wanauliza maswal kisha wajipachike sifa za utabibu wakauwe watu mtaan
 
FemiCare – Feminine Cleanser
Sabuni Maalum Kwa Mwanamke

MWANAMKE:
Katika maisha yake hupitia vipindi vikuu vitano (5) ambavyo Jamii nay eye binafsi ni muhimu kuwa makini sana.
1. Kuvunja Ungo
2. Tendo la Ndoa
3. Mimba
4. Uzazi
5. Kukoma kwa Hedhi

Hakika takribani katika hatua zote Mwanamke hutokwa na uchafu na damu, hii husababisha matatizo makubwa akipunguza umakini.
-Japo kuna sababu ambazo anaweza Kujitibu au kujikinga kama, Vyo vya Jumuiya, Nguo za ndani, Nguo za kubana sana, Kukaa sehemu moja muda mrefu, Tendo la Ndoa, na Uzazi wa Mpango.
: -Lakini Je, Inawezekana.?........... Ndio/ Hapana………………. Usijali kuna suruhisho hapa..!!
FEMI CARE:
UhuishaSeli kwa madini kutoka maliasili pamoja na OKO-HITECH baharini kwa kutumia mbinu za uchimbaji wa kiikolojia , madini machache yanayopatikana kutoka Ziwa kubwa la Chumvi USA, na mafuta ya asili ya muhimu ni kutoka kwenye mimea pia ina vitamini nyingi, amino acid, and vegatable antioxidative element.

Wataalamu wamethibitisha kuwa FemiCare ni Dawa nzuri na salama imeisha tumika tayari kwa miaka mia moja.
INAHUSIKA:
1. Inasaidia Uke kupambana na maambukizi.
2. Inaondoa majimaji machafu, harufu na miwasho
3. Inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywere hasa sehemu za siri, vidudu kwenye mirija kama utumbo, Vidudu vinavyo sambulia njia ya mkojo, Vidudu vya Fangasi na Vijidudu vingine hatari kwa sehemu za siri
4. Huweka uke safi na kuukinga na maambukizi
5. Husaidia kuhuisha Seli.

Kwa kutibu na kukinga bacteria tumia mfurulizo siku 7.

VIAMBATA:
Feminine shafishio, ina aina tatu za viambata vikuu: Rejuvenating mineral elements kutoka kwenye vianzo vya asili ÖKO-HITECH Marine Ecological Extraction Technique, Compound trace elements is extracted kutoka Umoja wa Nchi za Marekani Great Salt Lake, na natural essential mafuta ya mimea, kuchanganywa na maji yaliyo safishwa na kutengenezwa maalumu kwa kuoshea Ukeni. Pia imechanganywa na mineral elements, trace elements, multiple vitamines, amino acid, and vegatable antioxidative element.

MAELEKEZO:
A-Kutumia kuosha
1- Makini pima vifuniko 2-4 (17-34ml)
2- Weka kwenye Beseni la kukogea
3- Changanya dawa (Femicare) na maji ya vuguvugu lita 5-10
4- Kaa kwenye Beseni ujisafishe ukeni kwa muda wa Dakika 5-10.

B-Kutumia kuingiza Ukeni
1- Kwa makini weka vifuniko 2 (kama 17ml) ya Femicare
2- Changanya vizuri Dawa na maji ya vuguvugu 40ml
3- Lala chali na ujiachie, Ingiza kifaa Ukeni. Kandamiza mfuniko kuruhusu dawa kutoka, na utulie kwa muda wa dakika 3-5
4- Osha kifaa kwa kuweka maji ya vuguvugu na kuingiza Ukeni tena, Tulia kwa muda wa dakika 3-5 kisha ujisafishe.
• Kwa kutibu na kukinga bacteria tumia mfurulizo siku 7 mpaka 10.

KUHUSU KIFAA:
 Kifaa kimetengenezwa kulingana na ubora wa GMP
 Kifaa kina kifuniko na kibomba
 Tafadhali safisha Kifaa na ukihifadhi kwenye eneo kavu
 Tafadhali kuwa makini kuepuka kisipokee maambukizi.

ONYO:
 Ni kwa matumizi ya nje
 Ikiingia mdomoni wasiliana na Mtaalam
 Haitumiki kwa Mwanamke Bikra, Mwenye Hedhi, Mwenye Mimba na Anaye nyonyesha
 Femicare haiziwii Mimba, wala haitibu magonjwa ya zinaa, pelvic inflammatory disease
ANGALIZO:
1- Wenye maambukizi anaweza kupata maumivu kwa siku chache, yakiendele siku 5 wasiliana na Mtaalam
2- Usitumie kama una aleji
3- Ni nzuri kwa kukinga maambukizi
4- Weka kifaa katika usafi
5- Weka mbali na wanapofikia watoto.
UHIFADHI:
Linda isipatwe na mwanga wa jua, Hifadhi kwenye sehemu kavu, Weka mbali na watoto.
UJAZO:
1- 180ml
2- Kifaa muhimu
 
Back
Top Bottom