ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Wana Bodi, nimeanzisha thread hii ya kujulishana maeneo tunayolia bata weekend hii, Mimi Niko Maeneo ya Kawe beach nabarizi huku nikila vitu (bia)na marafiki
Wewe uko maeneo gani muda huu
Wewe uko maeneo gani muda huu