Uko kwenye mood ya kitu gani/kufanya nini weekend hii?

Uko kwenye mood ya kitu gani/kufanya nini weekend hii?

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Weekend ndo mara nyingi watu hupata muda wa kurelax na kufanya kile wanachopenda.

Inaweza ikawa going out, visiting friends/family, shopping, au something as simple as just chilling at home.

So wewe upo kwenye mood ya kitu gani weekend hii?
 
nipo na mood ya ya kukaa na watoto YATIMA na kula nao chakula cha Mchana.. nafkiri itapendeza sana.
 
Nikae nyumbani, nifanye usafi wa nyumba na mazingira ya nje, nifue, ninyooshe nguo za kuvaa wiki nzima.
Nipate muda wa kucheza na watoto wangu pia.
Na watoto wakilala kama kawaida ( kwa wakubwa tuu)

Kufanya usafi can be so therapeutic at times, very refreshing ukishamaliza
 
Back
Top Bottom