Uko kwenye mood ya kitu gani/kufanya nini weekend hii?

I think Motherhood is all about worrying. Hata nikijifungua I will just worry about my cubs. Why are they quiet, what are they up to?

Has Dada stolen them?

Did they manage to open the gate and are playing at the roadside.

Qhy am I a bad Mom. Are my kids spoilt brats. God. Will they turn out right?

LOL
 
Is Jack Ryan good

Black panther from what I can tell, concept na visuals ziko pouwa, ila am not sure about the storyline. So nimei-put off for a while
Black panther napenda zile technology, jinsi Tchala anavyopigana kubwa zaisi yule Dada ake Tchala aitwae Suri ndo kanivutia zaidi niwe naingalia hii much.

Jack Ryan ukiiangalia inaweza kukurudisha chaputa kama ni mnyetukaji mstaafu
 
It's a never ending circle, I guess y'all eventually learn how to live with it

But hey, what would we all do without a mother's gentle touch and care
 
Tusio na kazi hapa hapatuhusu kabisaa kwasababu kila siku sisi tuko weekend. Ngoja tu go ahead ya ya ya ya...
 
>Exegetical commentary on the New Testament.

>Commercial Real Estate Investiment.
Ya pili looks interesting, uko kwenye sector hiyo nini

By the way who authored the first book
 
Black panther napenda zile technology, jinsi Tchala anavyopigana kubwa zaisi yule Dada ake Tchala aitwae Suri ndo kanivutia zaidi niwe naingalia hii much.

Jack Ryan ukiiangalia inaweza kukurudisha chaputa kama ni mnyetukaji mstaafu
Haha spy movies/series na sexual scenes ni sawa na pete na kidole

Suri kakuvutia uigizaji au muonekano
 
It's a never ending circle, I guess y'all eventually learn how to live with it

But hey, what would we all do without a mother's gentle touch and care
Yeah. What would we be without our Mothers?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…