Uko na mtaji na hujui ufanye biashara gari njoo tuungane

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
1,053
Reaction score
1,304
Habari

Kama unapesa na hujui ufanye biashara gani au uko busy sana lakini unamtaji na upo dsm naomba ni pm, biashara nishaifanyia utafiti, pm nikueleze aina ya biashara kama utakuwa tayari tukutane tuyajenge, uwe na mtaji kuanzia 800,000

Nb
Uwe mkazi wa dsm ili tuonane na tuyajenge (tufahamiane)
 
Kama kweli wewe sio tapeli na umefanya "utafiti" kwanini usiweke ripoti yako hapa tuisome wote hata na wale wasio na mitaji ili wakipata waendelee na business moja kwa moja wasikusumbue PM?

Unaweza kutueleza kwa kufuata dondoo hizi:

*problem statement (Tatizo unalotatua)
*methodology (Namna ulivyo tafiti)
*Results (Matokeo)
*Recommendation (Mapendekezo yako)

Karibu uwanja ni wako
 
Kama kweli wewe sio tapeli na umefanya "utafiti" kwanini usiweke ripoti yako hapa tuisome wote hata na wale wasio na mitaji ili wakipata waendelee na business moja kwa moja wasikusumbue PM?
Mkuu ningekuwa tapeli nisingetaka nionane na muhusika, then ndio mana nimesema awe dsm ili iwe rahisi kuonana na kuzungumza kama unataka kujua ni pm nitakuambia lakini sitoweka hapa hiyo business sorry
 
Mindimukanga nang'olo[emoji1] [emoji1] jina lako linaendana na hiyo lugha
 
Mkuu ningekuwa tapeli nisingetaka nionane na muhusika, then ndio mana nimesema awe dsm ili iwe rahisi kuonana na kuzungumza kama unataka kujua ni pm nitakuambia lakini sitoweka hapa hiyo business sorry
???
 
Tatizo nalotatua ni kupata mtaji utakaotosha kuanza biashara husika

Utafiti niliofanya bidhaa husika inachukuliwa mkoan kwa gharama ya tunaanza na pcs 50 tsh @15000, + usafir 40000 kwenda na kurud + guest 10000 per day + chakula 10000 per day

Bidhaa tunauza ilala mabatini kwa @40000 hadi 50000 pia kama partner atakuwa na mda tutaenda wote mkoani kuchukua mzigo

Karibu kwa kitu kingine unachotaka kujua
 
Japo haujaiweka vzur sana. Ila inaonesha kweli unayo idea. Poa, uwe unachungulia PM bas
 
Mkuu Nipigie 0767108343 tuyajenge
 
Kaka nibip nitakupigia tuongee 0652729239
 
Mh isije kuwa pcs za bange
 
Mh mpk uweke na kianzio NA wakt Hujui life LA mtu likoje
 
Hahahaana sio mkabaji.... Huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…