Uko tayari kuchanja kinga ya MPOX?

Uko tayari kuchanja kinga ya MPOX?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
CDC italeta Afrika dozi milioni 10 ya MPOX na kupelekea moja kwa moja nchini Congo (DR) huku mipaka ya Tanzania ikianza ukaguzi kwa mujibu wa waziri wa afya mhagama .

Iwapo Marekani itaongeza dozi ni kuwa italazimika kuchanja kabla ya kuvuka mipaka , ugonjwa wa MPOX ni mpya sana kwa baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania hivyo italazimika kuchanja ili kuvuka boda au la .

Ugonjwa huu unauwa kwa 10% au chini ya hapo kwa wale ambao hawajachanja na kuharibika mvuto wa ngozi

USSR

IMG-20240820-WA0005.jpg
FB_IMG_1724000925663_1.jpg
 
Kuna kipindi nilitembeaga na demu flani hivi, baada ya siku mbili uchi woote ukawa kama uso wa huyo mzee.

Aseee sijui ilikuaga nini ile. Ila nilijitibu nikapona.

Pole nje ya mada na muda.
 
Kuna kipindi nilitembeaga na demu flani hivi, baada ya siku mbili uchi woote ukawa kama uso wa huyo mzee.

Aseee sijui ilikuaga nini ile. Ila nilijitibu nikapona.

Pole nje ya mada na muda.
Labda Uzio tu

USSR
 
Back
Top Bottom