Tukikuwa wote Bukoba mjini miaka ya 90
Mwaka 2000 tulikutana tena jiji Mwanza tukaendeleza mahusiano ...
Nilisafiri nje ya nchi na sasa nimerudi - nikaenda mtaani kwako ulikokuwa ukiishi nimeambiwa ulihama na hakuna mwenye namba yako ya simu.
Jamani atakayesoma hii jumbe anipm kama anaweza nisaidia kumpata huyu Janny.