Uko wapi Jerry Slaa? Vifurushi vya Intaneti vinaisha haraka

Uko wapi Jerry Slaa? Vifurushi vya Intaneti vinaisha haraka

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,150
Reaction score
3,225
Waziri wetu u wapi weye, sie tukiweka mabando yaisha within short time. Few days ago internet ilisumbua haswaa, saizi bando linaisha haraka.

Je, ni bei zimepanda indirect ama ndo mnatupea adhabu tusiingie mtandaoni? Internet ni uchumi.

Serikali isinyamaze, Jerry FANYA mamboo. Siamini kama ni maelekezo haya MAKAMPUNI ya simu yatufanyie hivi. Jerry chafukwa mlete Elon Musk atupe huduma za internet UONE jinsi haya MAKAMPUNI yatajirekebisha.

Soma Pia: Vifurushi vya tigo Internet, ndio vinaisha kwa kasi kiasi hiki au ni wizi?

Haya Niko Tanga Leo ukweni, Waja Leo warudi kesho
 
Uko wapi mh.Jerry, tafadhali okoa wananchi kwenye hilo.
 
Mi mpiga kura wako hapa kitunda nashindwa kuangalia mtandaoni kazi zako kisa bando..Jerry Silaa FANYA mambo
 
Back
Top Bottom