Huyu bidada ni zao la kaole toka enzi hizoo..makali yake yalianza kuonekana kweny movie ya johari(2006),dangerous desire,sikitiko langu,bed rest,shakira na nyinginezo.ni kati ya wanawake waliyowa inspire mabint wengi kuingia kweny solo la film tanzania.pia anamilik company ya film rj akishirikiana na swahiba wake ray.siku izi umepotea kwenye raman japokuw unadai uko busy na kuandaa film zako.kumbuka una mashabik wengi sana.ndio wapo wasichana wengi walioingia kiwandan kama wema,uwoya,wolper,odama,aunty na kadhalika,lakin radha yako bado iko pale pale wew ni wew na hao ni wao.so please binti machozi rudi ulingoni uendelez makal yako...