Uko wapi johari?..

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Huyu bidada ni zao la kaole toka enzi hizoo..makali yake yalianza kuonekana kweny movie ya johari(2006),dangerous desire,sikitiko langu,bed rest,shakira na nyinginezo.ni kati ya wanawake waliyowa inspire mabint wengi kuingia kweny solo la film tanzania.pia anamilik company ya film rj akishirikiana na swahiba wake ray.siku izi umepotea kwenye raman japokuw unadai uko busy na kuandaa film zako.kumbuka una mashabik wengi sana.ndio wapo wasichana wengi walioingia kiwandan kama wema,uwoya,wolper,odama,aunty na kadhalika,lakin radha yako bado iko pale pale wew ni wew na hao ni wao.so please binti machozi rudi ulingoni uendelez makal yako...
 
Wee baada ya kuomboleza mmeo anaoa dume unnamtafuta Johari? Au na ww unataka ujilipe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…