Uko wapi mwenge wa uhuru

hapakazit

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
839
Reaction score
663
Habar wana jamvi tumezoea miaka mingne msimu kama huu hasa kipindi cha mbio za mwenge tunapata habar juu ya nn kinaendelea katka mbio za mwenge yakiwamo matukio yanayofanywa na wakimbiza mwenge lakin sasa habar za mwenge zimekuwa adim sana kwenye media na zile shamlashamla ya kuhitimishwa kwake hazipo kabsa nan anajua umepatwa na nn mwenge wetu wa uhuru
 
Mkuu hauko Tanganyika?
Juzi nimeushuhudia mwenge ukipita na watu wamejipanga kuupokea barabarani.
Mbona kama ume loose popularity hatuon habar zake front za magazet au kwenye taarifa za habar za radio na tv bila shaka ukiwauliza wengi wanaweza wasijue uko mkoa gan na unazimwa lini na wap
 
mwenge ni moja kati ya mashetani yanayoinyonya hii nchi..kwa ushauri wangu ni bora uandaliwe utaratibu mwenge uweunaadhimishwa katika mkoa mmoja tu kitaifa na siyo kuzunguka nchi nzima kwenda kuzindua kishimo Cha choo kilichogalimu laki tano lakini waliokuja kukizindua wametumia mamilioni ya pesa za mlipa kodi...haya mambo yanatia hasira sana..
 
Mwenge nimeuona umezimwa baada kutumia bill 1000 ila wameacha change bill 1.2 mkuu sio mtu wa mchezo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…