Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

Huyo ni mjinga sana, na mwanaume wa namna hiyo hana akili ni tegemezi na hawezi kuwa na maendelea ktk maisha yake, huyo Jamaa mwenye hicho kichomi atafanikiwa,
 
Achana na jamaa yako, yatakapomkuta ndipo atakuelewa..ni swala la muda tu..
Kuna story jamaa alikuwa anatembea na mke wa mwanajeshi,sasa mshkaji akawa anamleta hadi yule mke wa mwanajeshi bar anakaa na washkaji wanakunywa pombe na washkaji wakawa wanajua na wanafanya ni siri yao.Sasa yule mwanajeshi alivyokuja kushtuka akaanza kufuatilia taratibu hadi akamjua mwizi wake pamoja na ile kampan yake ya washkaji wanne hvyo akaamua kuweka mtego-Siku mtego ulipotimia alichukuliwa yule mwiz wake pamoja na wale washkaji wenzake wanne wakapelekwa chemba-Kilichofuata ni kwamba waliambiwa wavue nguo na kila mmoja aanze kumpelekea moto mshkaji mwenzake na wabadilishane badilishane mpaka aridhike 🤣 🤣 🤣
 
Kumbe! Kuna dem mmoja anajidai ananipenda na ananiambia nipo mm tu peke yangu ila akinipa k inakua kama ina size ya kuzid uskute huwa anatoka kuliwa mbwa yule .... Dah simtak tena
 
Hii sio obvious. Kipindi fulani nili date na mke wa mtu (bila kujua kama ni mke-hakuniambia) alinipiga laki laki fasta fasta mpaka nikakata kamba. Nikitaka kumkamua mpaka tufunge safari
Sasa kama hajuwi na wewe hujuwi kama yeye mke wa mtu lazima akupige..

Wake za watu hawana gharama mkuu ,pengine alikuwa na shida ndy hapo alipoangukia.

Hivi Mke wa mtu mfano.

-Atakula kwa mumewe.

-Nguo kwa mumewe.

-Akiuguwa mumewe..

-- kwao kuna matatizo anagharamia mumewe.

--Matumizi madogo madogo na makubwa pia mumewe.

Wewe una gharama gani?
 
Kumbe! Kuna dem mmoja anajidai ananipenda na ananiambia nipo mm tu peke yangu ila akinipa k inakua kama ina size ya kuzid uskute huwa anatoka kuliwa mbwa yule .... Dah simtak tena
Hehehehehe alafu K iloguswa siku tatu zilizopita, kama ilimwagiwa na shahawa ndani.

Huwa inakua na kaharufu fulan ka uvundo.
 
Ila huyo dada kafanya vizuri, kuku komesha na umbea wako, huenda unamuonea wivu anachopewa na jamaa, unataka upewe wewe.
Dawa ya wakuda na wambea ndiyo hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hats off mzee, umepita mule mule! Ma Moguls ndio tunaelewaga mchezo.
Ukimcheki mtoto katepeta kinoma jicho limeenda tenge vibaya! Unajua iko namna yani.
 
Mke wa mtu ni SUMU..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaijua michezo yako ya hatari, sema wajuba codes tunazo! Ukianza kujifaragua tu tayari ni signal...

Utafanyiwa ambavyo hata hutarajii kwa mabwege wataona bby yuko romantic unaweza kuletewa hata zawadi siku hio mradi upotezwe maboya tu kisha anajiwahi leo nimechoka bby kichwa kinauma.
 
Mbaya zaidi mumewe fundi injini, subiria kupigwa spana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…