Uko wapi uwezo wa Tume ya Haki Jinai kwenye masuala ya ukatili?

Jantisa

Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
51
Reaction score
47
Habari zenu Wanajamvi.

Nimefuatilia sakata la dada JM kufanyiwa ukatili wa kubakwa na kulawitiwa kwa kundi na vijana watano wanaosemekana wamepewa order na Afande.

Kinachonitia mashaka kuhoji tume ya haki jinai Tanzania ni ukimya wao juu ya suala hili je ni ipi legitimacy ya kuwepo kwa tume hii au haki jinai ikiwa imevunjwa na watu wa vyombo vya usalama tume ya haki jinai Haina meno.

Jaman mwenyekiti na wajumbe wa tume ya haki jinai na maadili muamke kukemea mambo haya ya ukatili kwa wananchi.
 
Wapo oficn wanasubiri mwisho wa mwezi wapokee mshahara kazi iendelee.
 
Habari zenu Wanajamvi.

Nimefuatilia sakata la dada JM kufanyiwa ukatili wa kubakwa na kulawitiwa kwa kundi na vijana watano wanaosemekana wamepewa order na Afande.

Kinachonitia mashaka kuhoji tume ya haki jinai Tanzania ni ukimya wao juu ya suala hili je ni ipi legitimacy ya kuwepo kwa tume hii au haki jinai ikiwa imevunjwa na watu wa vyombo vya usalama tume ya haki jinai Haina meno.

Jaman mwenyekiti na wajumbe wa tume ya haki jinai na maadili muamke kukemea mambo haya ya ukatili kwa wananchi.
Tume ya Haki jinai ni ghiriba tu za kiutawala ili kuwahadaa wananchi wajinga.
 
Back
Top Bottom