Me370 mi hiyo avatar yako tu, inamlenga nani?Wewew Utajuaje huyu mkweli na huyu mdanganyifu? Utadanganywa tu humu. Lakini ka wanavyosema You never fail until you stop trying. Ukidanganywa endelea kujaribu..........
wmeshajitokeza wa ngap?sawa, nashukuru kwa taarifa
Dada yangu ni kweli wengu humu ni wasanii lakini hata walio serious wapo, jaribu kuna rafiki yangu alifanikiwa humu humu na amepatada mdada wanapendana kwelikweli
if only you would know.....Mm ni miongoni mwa watu ambao siamini kama unaweza pata mume au mke hapia
nakutakia kila la heri
Kama uko tayari kubadili dini ni pm
uko wapi wa kunitoa upweke jamani..? Nimekuwa nikisoma thread humu za kutafuta wenza nami nimeona nijiunge ili niweze kutafuta mwenza. Please nipo serious. Mi ni mwanamke mwenye miaka 30,muislam,nina mtoto na ni muajiriwa.