Nyangaramera Member Joined Jan 19, 2017 Posts 59 Reaction score 43 Nov 25, 2017 #1 Jamani namtafuta uyu dada toka alipohama arusha secondary mwaka 2002 ckuweza kumpata tena,though kwenye mitandao ya kijamii alijiita zulfa r ahmed bt hizo account ziko inactive.yeyote mwenye mawasiliano nae plz ani pm
Jamani namtafuta uyu dada toka alipohama arusha secondary mwaka 2002 ckuweza kumpata tena,though kwenye mitandao ya kijamii alijiita zulfa r ahmed bt hizo account ziko inactive.yeyote mwenye mawasiliano nae plz ani pm
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Nov 25, 2017 #2 Umenikumbusha kidemu changu cha shule ya msingi zulfa , ukimpata pia zulfa ni pm maana uenda akawa yy
Umenikumbusha kidemu changu cha shule ya msingi zulfa , ukimpata pia zulfa ni pm maana uenda akawa yy
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 Nov 25, 2017 #3 Uyo zulfa amenizalia mapacha
ZINDAGI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 1,118 Reaction score 1,430 Nov 25, 2017 #4 MV Spice Island
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 11,769 Reaction score 16,799 Nov 25, 2017 #5 Kweli watu mnamahaba ya dhati