Ukodishaji wa mashamba kwaajili ya kilimo Dakawa na bei zake

Ukodishaji wa mashamba kwaajili ya kilimo Dakawa na bei zake

Ms Khadja

New Member
Joined
May 22, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Wakuu tafadhali Kama kuna mtu anajua mashamba ya kukodi kwaajili ya kilimo mwaka huu maeneo Dakawa naomba kujuzwa

@whats app no 0629931610
Kama unajua kuhusu au unakodisha tafadhali wasiliana na mim kwa namba hiyo juu
 
unataka lima mpunga au miwa?

unataka shamba lililo kwenye scheme ya umwagiliaji au shamba lolote lile?
 
Kuliko nikodi shamba heka laki au laki na nusu heri nikanunue Pori kwa bei iyo nifyeke liwe langu kabisa

Ni ushauri tu
 
Sie tupo dakawa tuna tape tapeliwa anatapeliwa mpka DIWANI SEUSE WW UNAETAKA KUTAFUTWA KWA SIM UTAKUFA VIBAYA SANA
Ndio maana nimemuambia aende mwenyewe. Nimeshawahi kulima hapo Dakawa na nina ndugu zangu walitapeliwa karibia milioni sita hapo, walikodi shamba kwa mpesa
 
Back
Top Bottom