UKOKO utokao pembezoni mwa kiini cha JICHO

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Habari wadau...
Binafsi ki afya nimejawa hofu...Kama siku tano zilizopita,kwenye jicho..pale meet up ya iris na white part of eye..imezunguka a coat of white translucent coat yan inafanya macho yawe mekundu..
juzi ilianza kupungua after kutumia dawa ya macho ila jana imeridi tena
Kinachontia hofu ni kwamba hata haliumi hata kidogooo...during this coat formation..
WADAU SAMAHANINI KWA KISWANGLISH MAANA NINAMSTUKO KIDOGO HATA KUJIELEZA INANIWIA NGUMU

naombeni msaada wenu kabla sijaamua kuzama ccbrt uko kwa uchunguzi zaidi
 
wajuzi wa macho mnakaribishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…