Ukoloni mamboleo, Watanzania wanyimwa mkopo kisa kauli ya rais kuhusu mimba za wanafunzi

Mi niko upande wa magu..kama kuna mikopo yenye masharti ya kipuuzi,wabaki nayo wenyewe..kama watoto wanataka shule,wasome shule!kama wanataka kuzaa,wazae!Mimi binafsi binti yangu akizaa wakati anasoma,na shule ndo basi,atabaki mtaani apambane kulea mwanae..
Mikopo ya masharti ya kijinga hatutaki
Iko siku mtaambiwa ili mkopeshwe inabidi mfir*ne,mtakubali kwa kuendekeza njaa wapuuzi nyie..big up magu!
 
Mwisho wa siku kama unazungusha kibakuli cha kuombea pesa lazima ukubali kuendeshwa, inauma lakini ndio hivyo, hamna jinsi. Wanakupa pesa ila kwa kejeli na dharau.
Magu azungushi bakuli kijana,wao wanakuja wenyewe..
Nadhani anayezungusha bakuli,unamjua?
 
Nani anatetea kila kitu!!!!

Elimu ni haki ya msingi ya kila mtoto,na mimba haki yake kwa wakati huo???unatetea.

Tutashutumiana kuwasimanga mashoga kwa kigezo kwamba ni matatizo yao kimaumbile,waachwe.

Hamna sehemu nimesema waachwe wasiadhibiwe, hamna sehemu nimetetea utungwaji wa mimba kwa wanafunzi, ila napinga adhabu ya kumnyima elimu huyo mtoto, muadhibu utakavyo lakini usimtenganishe na elimu.
Hamna kitu cha ovyo unapambana kwenye maisha lakini huna elimu yoyote hata ujumbe wa kutumiwa hela kwenye Mpesa lazima uombe mtu akusomee.
 
TUKO KWENYE RIGHT TRUCK
*Sadam Hussein ni Rais wa Kuwait*
 

Tunakuwa wanafiki sana sijui kwanini hata Mbingu tutaisikia tu.

Wazazi wenyewe mtoto akiishaza shuleni anazirwa,upelekwe shule wazazi wanajibana usome,wewe unakitembeza,ukikumbuka kwamba mwakani utaweza kuendelea kwa msamaha wa serikali,mapembe yanarefuka unasahau kama umewakosea sana wazazi wako,kwa kuwapa kitu ambacho hawakukuomba.

Mbali na hayo kiuchumi umeshawayumbisha.
 

Elimu ina mifumo mingi huku tz.

Badala ya mfumo rasmi wa elimu,kuna elimu kutoka vyuo vya ufundi na veta.itamsaidia akiwa na nia thabiti na kukomboa maisha yake.
 
sipendi kubishana kisiasa,tuna haki ya kutofautiana kimawazo ILA FACTS lazima tuzipe haki yake ili historia yetu tusiipinde,mimi na wewe sio wasemaji wa Rais ila tuna uwezo wa kumtafakari our no 1 alimaanisha nini alipozungumzia ile issue,kumbuka alitoa kauli ya kuwaadhibu wale wote watakaoruhusu wasichana kuendelea na masomo kwenye shule za serikali kama amepata mimba(kumbuka naye ni mwalimu wa kusomea pale Mkwawa CNE na kuwa kwake rais sio kwamba alivyoishi na how he treat wanavyuo wa kike historia ile imefutwa kisa pale chuoni ipo siku yasiyoandikika now yatakuja kuandikwa) kuhusu sex it takes two to Tango kwa hiyo kumwadhibu only a girl ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya elimu bora na sawa kama mtoto mwingine,mfano wa AIDS ulioutoa hapo juu siuelewi na sioni mwingilio wake na mada,elimu ya ukimwi ni kwa watu wote regardless sex ya mtu.wakati wenzetu walioendelea wanajitahidi kutoa elimu ya ufahamu na kuwa motivate watoto wa kike warudi shule sisi bado tunatia vichwa vyetu kwenye mchanga na kujifanya hatuoni,serikali hii itakuwa na mwisho wake kama zilizotangulia haitakuwa ya milele,refer Mugabe,Mabutu,etc etc .always kumbuka unapoelimisha mwanamke unaelimisha TAIFA.
 

Teh teh teh tihiii
utafiti wako una walakini mkubwa.
kwa hiyo unataka kutuambia ya kuwa si vibaya kwa wanafunzi wa elimu ya msingi na sekondari kujihusisha na vitendo vya ngono?
 
Kama mtu una nia njema huwezi kuwanyima watoto wote elimu kisa waliopata mimba wameambiwa wakajilipie kwenye private schools. Hii iwe changamoto kwa waafrika wote wanaodhani unaweza ukawa maskini na bado ukawa huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…