Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Hebu tuangalie kwa kina, ukoloni uliletwa na wazungu tu. Waarabu na wahindi walikuwa wafanyabishara tu.
Hoja, ninani mwenye afadhali kati ya mkoloni na mfanyabishara?
Japokuwa mkoloni alikuwa na mabaya yake kama kutesa, kushurutisha, kuaibisha na bogus treaty lakini kuna kitu cha maana aliacha tupo nacho hadi leo.
Mfanyabiashara (mwarabu) alikuwa mpitaji anayejijali yeye tu. Ni vitu vichache sana vya maana alivyoacha Afrika hasa Tanzania (Tanganyika+zenji). Kwa ujumla waarabu sio watu wazuri hata kidogo kihistoria.
Karibuni kwa hoja.