Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Nani mzuri ? mzungu ? anayewashinikiza mpakuane mavi ?Kwa ujumla waarabu sio watu wazuri hata kidogo kihistoria
Hoja inalenga kwa matukio yaliyopita lakini mimi ni mchokoza maada tuNani mzuri ? mzungu ? anayewashinikiza mpakuane mavi ?
Mbona unarembua?Nonsense.
Kwanza, Rudi shule ukasome vizuri historia nzima ya utumwa.
Pili, hatupo hapa kuchagua the lesser evil au nani mnamuabudu mizungu au miarabu. Sisi tunaangalia maslahi mapana ya taifa. Wamatumbi mmeshindwa kuendesha bandari kama ambavyo NBC, NMB, KIA zilivyowashinda ni wakati wa muwekezaji kupewa. Utumwa/uarabu/dini have nothing to do with uwekezaji.
Duh yamekua hayo tenaMbona unarembua?
Kitu Cha ajabu wamatumbi wameshindwa kuendesha bandari,kia,NBC nk lkn eti wanaweza kuendesha sirikali?.Nonsense.